Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kwanini usiseme Mama Anaweza kuchangia hata 1% kwenye Peace Keeping? Badala ya kukazia bakuli kwa Nchi za Ulaya?Kwa hiyo ukitoa hiyo 22% ikabaki 78% nini kitashindikana kuendesha U.N?
Ukitoa hiyo 25% ikabaki 75% kwenye peacekeeping itashindikana?
Inawezekana mataifa mengine yakaongeza bajeti kufidia.
Au mashirika ya U.N na missions zake kupunguza matumizi mambo yakaenda kama kawaida
Mkuu China na North Korea wanachanga asilimia ngapi?😀😀Ukweli ni kwamba hata Marekani ijitoe U.N hakuna kitu kitasimama duniani. Bajeti ya U.N haichangiwi na Marekani peke yake
Problem taifa gani linataka kuongeza budget huko?Kwa hiyo ukitoa hiyo 22% ikabaki 78% nini kitashindikana kuendesha U.N?
Ukitoa hiyo 25% ikabaki 75% kwenye peacekeeping itashindikana?
Inawezekana mataifa mengine yakaongeza bajeti kufidia.
Au mashirika ya U.N na missions zake kupunguza matumizi mambo yakaenda kama kawaida
Mrusi hata kijenga kisima kimoja cha maji ya chumvi kule nanjilinji hawezi , anajiita supa pawa😀😀😀Hao wachina na warusii wanajua tu kukunyonya!! Bora hao wamarekan walikua wanakumbuka watoto wako, sio hao wachina na waasia😞😞😞
Unamaanisha?Kwanini usiseme Mama Anaweza kuchangia hata 1% kwenye Peace Keeping? Badala ya kukazia bakuli kwa Nchi za Ulaya?
Mna ubavu gani wa kuitenga Marekani?Ni wakati wa kuionyesha Dunia kuwa inawezekana kabisa kuitenga Marekani na maisha yakaendelea.
Top 10 UN budget contributors:Mkuu China na North Korea wanachanga asilimia ngapi?😀😀
Problem taifa gani linataka kuongeza budget huko?
Kuongez budget means kubeba mzigo kwenye uchumi wa nchi husika since UNA Haifanyi biashara, but then kuna interest za kila nchi , do you think ni rahis kihivyo?
Yaaap nakubali hapo itabidi wa trim matumizi, rasilimali watu na vitu vingineNdio maana nikasema ikishindikana U.N itabidi ipunguze matumizi yake
Kwenye masuala ya bajeti ikishindikana kufikia bajeti iliyotakiwa watu wanaishi na kile kilichopo
Tena ukizingatia hapo kama Marekani ikijitoa bado bajeti inazidi nusu hakuna kinashindikana
Ukweli ni kwamba hata Marekani ijitoe U.N hakuna kitu kitasimama duniani. Bajeti ya U.N haichangiwi na Marekani peke yake
Easier said than done.Ndio maana nikasema ikishindikana U.N itabidi ipunguze matumizi yake
Kwenye masuala ya bajeti ikishindikana kufikia bajeti iliyotakiwa watu wanaishi na kile kilichopo
Tena ukizingatia hapo kama Marekani ikijitoa bado bajeti inazidi nusu hakuna kinashindikana
Umesema vyemaYaaap nakubali hapo itabidi wa trim matumizi, rasilimali watu na vitu vingine
Kaka unaona 25% ndogo???Kwa hiyo ukitoa hiyo 22% ikabaki 78% nini kitashindikana kuendesha U.N?
Ukitoa hiyo 25% ikabaki 75% kwenye peacekeeping itashindikana?
Inawezekana mataifa mengine yakaongeza bajeti kufidia.
Au mashirika ya U.N na missions zake kupunguza matumizi mambo yakaenda kama kawaida
Ni Trump alianza, na ilikuwa kwenye plans zake hata kabla hajawa raisi, na sababu kubwa ni uhusiano binafsi kati yake na Putin.Mkuu kati ya Trump na Putin nani alianza kumpigia simu mwenzake kutaka mazungumzo ya kusitisha vita?
kama sio ARV nafikiri gonjwa la HIV lingekuwa limeisha ingebaki story tu.Tatizo litakalofuata sasa ni kutolewa kwa dawa feki maana wabongo kwa shortcut ndio wenyewe.
Jamaa anaona 25% ni ndogo, imagine taifa moja linachangia robo ya bajeti yote ya dunia huko UN then wadau wanasema ni kiasi kidogo.Kaka unaona 25% ndogo???
Yani chukulia leo hii waondoe asilimia 25% ya mshahara wako, yani usilipwe mshahara miezi mitatu kwa mwaka, wangapi watasurvive?
Hali ingekuwa mbaya kuliko mwanzo. Gonjwa haliishi ki miujiza, bali kwa strategy na sciencekama sio ARV nafikiri gonjwa la HIV lingekuwa limeisha ingebaki story tu.
Easier said than done.