Trump ameshajiondoa kufadhili miradi ya afya kabla ya siku 90? Je, ameona siku 90 ni mbali?

Kaka unaona 25% ndogo???

Yani chukulia leo hii waondoe asilimia 25% ya mshahara wako, yani usilipwe mshahara miezi mitatu kwa mwaka, wangapi watasurvive?
Nitapunguza matumizi na kuangalia kipi nikipe kipaumbele inapohusu wants na needs

Hata kwenye masherehe kunakuwa na bajeti isipofikiwa linapigwa kwanja mpaka sherehe itafanyika tu

Hiii ni principle ya budget na huwa tunaitumia kila siku kwenye maisha yetu
 
Sasa nani alikuwa anamhitaji zaidi mwenzake hapo kati ya Marekani na Russia?

Kuchoka ni kushindwa. Kati ya Urusi na Ukraine nani vita vimemuelemea na nani vita vinapiganwa kwenye ardhi yake?

Russia imechukua zaidi 20% ya ardhi ya Ukraine licha ya misaada yoe kutoka NATO na U.S vassal states hapo hatujazungumzia Crimea

Marekani atafanya ubabe wake wote kwa mataifa mengine lakini sio kwa Russia na China

 
Hahahaha πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya kama ndiyo mawazo ya masomi itakuaje Kwa Sisi darasa la 7?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…