Kwa matambo ya Trump hakuna mtu angeamini kuwa angepigana vita na Iran kwa kipindi chote hiki na kushindwa kupata ushindi. Hii imeonesha kuwa, Nguvu ya kijeshi ya Marekani sio kubwa kama wanavyo inadi ila inapropaganda nyingi sana kuliko uhalisia.
Kwa sasa Trump anahaha kutembelea Ulaya na China kuomba kuungwa mkono na kuomba hizo nchi kubwa wasinunue chochote kutoka Irani ili ikose fedha za kuendesha vita ILI aweze kushinda vita.
Fikiria kwa masifa ya kijeshi inayojipa Marekani hadi LEO imeshindwa kabisa kufungua mlango wa Hormuz (Strait of Hormuz); kuna meli kwa mamia zikiwemo za marekani ILA zimezuiliwa na Marekani imeshindwa kabisa kuzipitisha.
Ukitumia akili kidogo utagundua; propaganda za marekani/Israel ni kubwa sana kuliko Uhalisia. Haingii akilini Marekani ituaminishe imemaliza Nguvu ya kijeshi ya Irani kwa 80% halafu bado, iogope kupisha Meli zake Hormuz?
lakini pia baada ya ndege za Marekani bora sana na ghali sana mbili kuangushwa, sasa inasita kupeleka ndege nyingine kwani Wa Irani wameshasoma cording ya hizo ndege; Inamaana wakituma zingine ni rahisi kudunguliwa.
WAMAREKANI WALIICHUKULIA POA IRANI WAKIFIKIRI NI SAWA NA VENEZUELA; KUMBE IRANI IMEWEKEZA VIKUBWA KWENYE ELIMU, ELIMU, ELIMU; HIVYO HAWAHITAJI KUNUNUA NDEGE, DRONE ZA KIVITA, MABOMU, BUNDUKI NK NKNK WANATENGENEZA WENYEWE KWENYE VIWANDA VYAO.
Nimeanza kuwaza kuwa; Marekani sio chochote kwa China kama zikipigana !!!
NI SUALA LA MUDA TU, CHINA INAENDA KUSHIKA DOLA YA DUNIA!!!