Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

Sikirimimimasikini

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
2,926
Reaction score
15,634
Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).

Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la kutunza amani...tungeweza kulitumia jeshi hilo kwenye mpaka wetu (Marekani) wa kusini".

Trump akaendelea kuongea "Nimeona vifaru vingi (vya Russia) kwa idadi ambayo sijapata kuona kabla. Kwa kweli wanaenda kutunza amani kiukamilifu kabisa".

Ikumbukwe kuwa hata Rais Bill Clinton wa Marekani alishawahi kumsifia na kumkubali Putin, akasema kuwa Rais putin ni mtu mwerevu mnooo, a.k.a. Genius (video yake tumeiambatanisha hapo chini)

Pia Rais George W. Bush aliwahi kumsifia Putin kuwa ni mtu smart sana (video yake pia ipo hapo chini)

======



“I said, ‘This is genius,'” Trump said on a right-wing podcast. “Putin declared a big portion of … Ukraine … as independent. Oh, that’s wonderful. … I said, ‘How smart is that?’ And he’s going to go in and be a peacekeeper. That’s strongest peace force. … We could use that on our southern border. That’s the strongest peace force I’ve ever seen. There were more army tanks than I’ve ever seen. They’re going to keep the peace all right. Here’s a guy who’s very savvy … I know him very well. Very, very well.”

Huyu hapa ni Raisi Bill Clinton akizungumza na Pierrs Morgan akisema kwamba Vladmir Putin ni mtu mwerevu. Anzia Sekunde ya 30....


Huyu hapa ni Raisi George W. Bush akimuelezea Vladmir Putin ni mtu mwerevu na mjanja mno. Anzia Sekunde ya 30....
 
Kwa kweli Trump sio mnafiki, ameamua kutoa ya moyoni kwa jinsi alivyokoshwa mnoo na hatua ambazo zimechukuliwa na Putin ambazo zimetumia akili isiyo ya kawaida.

Kisha kuna wamarekani wachache wa huko 'Nanyamba' na 'Tandahimba' wanaona ati Putin ni wa kawaida kawaida ktk Ulimwengu huu
 
Pamoja na kuwa Trump huwa anapenda fascistic fashist wenzake ila trump alikuwa kidogo anaonesha power kwa marekan na alikuwa anafanya mambo kwa akili ila hichi kibabu kibiden wamarekan wamepigwa mchana kweupe
 
Trump msenge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Eti wanaenda kutunza Amani, !!!

Eti ameona vifaru vingi ambavyo hajawahi kuviona hapo kabla, !! Hii anamaanisha kwamba ni kweli Russia Wana nguvu kubwa ya kijeshi , Sasa hapo Ina maana Trump anamtisha Biden au !?
 
Back
Top Bottom