Trump anasema kuwa namna Rais Putin alivyotangaza majimbo mawili makubwa ya Ukraine kuwa huru, hayapo ndani ya Ukraine, ni namna ya kipekee iliyotumia akili kubwa mno (Genius).
Trump akaendelea kusema kuwa Putin anaenda ingia ndani ya Ukraine na kuwa mlinda amani..."hilo ni jeshi imara zaidi la kutunza amani...tungeweza kulitumia jeshi hilo kwenye mpaka wetu (Marekani) wa kusini".
Trump akaendelea kuongea "Nimeona vifaru vingi (vya Russia) kwa idadi ambayo sijapata kuona kabla. Kwa kweli wanaenda kutunza amani kiukamilifu kabisa".
======
Former President Donald Trump called Vladimir Putin a "genius" for ordering Russian troops into Ukraine on Monday.
www.rollingstone.com
“I said, ‘This is genius,'” Trump
said on a right-wing podcast. “Putin declared a big portion of … Ukraine … as independent. Oh, that’s wonderful. … I said, ‘How smart is that?’ And he’s going to go in and be a peacekeeper. That’s strongest peace force. … We could use that on our southern border. That’s the strongest peace force I’ve ever seen. There were more army tanks than I’ve ever seen. They’re going to keep the peace all right. Here’s a guy who’s very savvy … I know him very well. Very, very well.”