Mwambwaro
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,309
- 3,522
hichi kibabu hakina nguvu hiyo kuongea kwenyewe shida tupuBiden hawez gombea Tena, Trump atamshinda kiuraisi,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hichi kibabu hakina nguvu hiyo kuongea kwenyewe shida tupuBiden hawez gombea Tena, Trump atamshinda kiuraisi,
Trump dares Biden to ^chokozafy^ & even left-foot Putin ili mambo yakiguyuguzika, apate mileage za kisiasa. Sisi tuliofanya kazi karibu na Trump tunamfahamu kuwa huyu bilionea ni professional political opportunist!Trump msenge [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Eti wanaenda kutunza Amani, !!!
Eti ameona vifaru vingi ambavyo hajawahi kuviona hapo kabla, !! Hii anamaanisha kwamba ni kweli Russia Wana nguvu kubwa ya kijeshi , Sasa hapo Ina maana Trump anamtisha Biden au !?
Nani alikwambia nguvu iko kwenye eloquence ya maneno? Ingekuwa hivyo, basi Bi Mikopo sasa hivi angeshaipaisha Tanzania katika hadhi ya kuwa voluntary sponsor mkuu wa IMF & WB.hichi kibabu hakina nguvu hiyo kuongea kwenyewe shida tupu
Trump ni RepublicanHivi huyu Biden anatokea chama gani na yule Obama alitkua chama gani? Mana wakati wa Obama Cremia ikaenda na maji, leo Biden majimbo mawili, Trump hakupoteza jimbo hata moja na alijua anadeal na mtu wa aina gani, kwenda kwake Moscow kuzungumza hakuwa mjinga, sasa wajanja wanawatia wenzao matatizoni kila siku.
Inawezekana siku akija mtu mwingine wa icho chama basi nae atasababisha majimbo mengine kumegwa tena kwa kujifanya wababe
Daaaa mkuu nakumbuka aisee Wachina hawatamsahau Trump aliwapiga sunctions wakawa wapole,, juzi eti nao wamempiga Pompeo sunctions,,,but 2024 Trump anaweza shinda tena
China hana haraka anaendelea kupandikiza majasus mdogomdogo ili atimize ule msemo wa SunTzu wa kupindua meza kibabe bila kuumizanaAnnexation has been promoted everywhere. who knows about tomorrow? probably Xinjiang will invade Taiwan before sunset. China is extremely yearning to do as putin does.
I bought my popcorns already. [emoji3][emoji3]
Mkuu kati ya wewe na marais wawili wa US kwa pamoja, Trump+Clinton, tuchukue maneno ya nani? Hao marais wote wawili wanasema Putin ni smart a.k.a. geniusPutin can not be Genius, otherwise tumuone akiweza kuhimili vikwazo alivyoekewa na wananchi wake wasijekufa njaa
InnuendosNadhani ufahamu wa Kiingereza ndio tatizo kubwa zaidi kwenye hii mada. Pure irony.
Daaa jamaa kwa kulinda masirahi ya marekani alikuwa serious hatari[emoji23][emoji23] huawei wamerudi kwenye ufugaji wa nguruwe.. haitatokea Huawei kumsahau DT.
Trump +Clinton wana malengo yao kisiasa kutamka hayo maneno., wanalenga kumdharau Biden ionekane ni advantage kwa uchaguzi wa Marekani utakaokuja, lakini Trump mbona wale North Korea wamekuwa wakivunja makubaliano ya umoja wa mataifa wazi wazi yeye akiwa madarakani ambapo Marekani ndio mdau mkuu , Trump akiwa ni rais kwanini hakuchukua hatua?Mkuu kati ya wewe na marais wawili wa US kwa pamoja, Trump+Clinton, tuchukue maneno ya nani? Hao marais wote wawili wanasema Putin ni smart a.k.a. genius
![]()
Bill Clinton: Vladimir Putin is one smart Russian
Former President Bill Clinton says Russian President Vladimir Putin is "highly intelligent," but has a skewed perception of Russian greatness.www.politico.com
Mkuu huyo Clinton ni Bill Clinton na alimsifia Putin mwaka 2014, miaka mingi kabla hata Biden hajawa Rais wa US.Trump +Clinton wana malengo yao kisiasa kutamka hayo maneno., wanalenga kumdharau Biden ionekane ni advantage kwa uchaguzi wa Marekani utakaokuja
Ni kisiasa zaidi Marekani ya sasa narudia tena na tena vita ya kukandamiza kiuchumi wao wameona ndio njia pekee endelevu itakayowasulubu kina Putini, uzuri wa Putini kisilaha haimaanishi kwamba Marekani hawezi kumshughulikia Russia chini ya dakika 5 kama Marekani itaamua.Mkuu huyo Clinton ni Bill Clinton na alimsifia Putin mwaka 2014, miaka mingi kabla hata Biden hajawa Rais wa US
Maraisi wanaotoka democratic ni nyanya kabisa.Maraisi wa Republican wanaogopwaga Sana, example Trump, Bush Jr na Bush Senior
Mkuu huyo Clinton ni Bill Clinton na alimsifia Putin mwaka 2014, miaka mingi kabla hata Biden hajawa Rais wa US.
Lakini pia hata George W. Bush alishawahi kumuelezea Putin kuwa ni mtu smart sana (cheki video hii kuanzia sekunde ya 30)
Hizo chini ya dakika tano angetumia sysria au vietnam ningeamin!Ni kisiasa zaidi Marekani ya sasa narudia tena na tena vita ya kukandamiza kiuchumi wao wameona ndio njia pekee endelevu itakayowasulubu kina Putini, uzuri wa Putini kisilaha haimaanishi kwamba Marekani hawezi kumshughulikia Russia chini ya dakika 5 kama Marekani itaamua.