Trump amsifia Putin kuwa ni 'Genius' kwa namna alivyoingia Ukraine

Hoja nzito hio ataiweza wapi, hilo swali hawezi kukujibu mkuu
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] mbona unauwa mbu kwa kutumia nyundo mkuu, huyo jamaa kwanza kila kitu anajifanya anajua, sisi tunamuelewa vizuri sn, kwanza jamaa anasifa ya URONGO
 
Ushauri dhaifu kabisa huu.
Hii ni sawasaw na kuwaambia watu Fulani ruhusuni ndoa za jinsiaoja tutawapa misaada.
Kwamba wakubali Ukraine kujiunga na NATO ili wasipigwe na vikwazo?
Huo ni ufala mkubwa sana.
 
Usipozifahamu vizuri siasa za taifa kama Marekani, ni rahisi sana kuziamini hizo sifa.
Jen Psaki ni afisa mwandamizi ktk serikali ya sasa ya Marekani, akihudumu ndani ya White House . Anajua siasa za Marekani kuliko Mmatumbi yeyote hapa JF. Yeye (Jen Psaki) kamuelewa Trump kama wengine walivyomuelewa, kuwa anamsifia Putin kwa hatua alizochukua dhidi ya Ukraine. Na kwa sababu hiyo kaamua kumshambulia Trump kwa kumsifia Putin.

Wewe Mmarekani mmatumbi endelea kudai ni mwerevu mno wa siasa za Marekani kuliko viongozi wenyewe wa serikali ya Marekani wanavyoijua siasa ya nchi yao.

 
Mkuu kuwekewa vikwazo ni bora kuliko kuzingirwa kutekwa na kuwa mtumwa. Yaani uwe roboti la matope. Hakuna mtu mwenye akili timamu ataruhusu kuzungukwa kwa makombora na mizinga. Aza waisi labda hatuna braini.
Huyo jamaa ni mzembe sana.hajui alichokiandika.hata Nyerere weru alikataa ujinga kama huu.
 
Liz Cheney ni mmarekani OG, mwanachama wa Republican (chama cha Trump) na mwakilishi ktk bunge la marekani toka mwaka 2017.

Yeye kaelewa kuwa Trump kamsifia Putin kwa hatua ya kuingia Ukraine, ameona si jambo la kawaida hata kidogo (pamoja na kuwa wapo chama kimoja) na hivyo kamshambulia Trump kwa kauli hiyo.

Je, Mmarekani huyo OG, tena mwanachama wa Republican party, naye ni mshamba (kwa kutoona sifa hizo za Trump kwa Putin sio jambo la kawaida)? ila wewe Mmarekani wa Buza ndio mwerevu wa kuona hilo ni jambo dogoo?

 
Watu wengi humu wanaandika kwa ushabiki, hivi mmarekani na yeye akiamua kufungua turubo ya silaha zake dunia itabaki salama? mmarekani anapigana vita kwa maarifa makubwa kama hizo sanctions ili kuifanya dunia kuendelea kuwa sehemu salama ya kuishi.
 
Ila angeifanya Israel ikachukua Jérusalem. Trump na Putin wote sawa.
Jerusalem ni mji wa Israel kwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita,kabla ya kuwepo hata Taifa la Palestine!
 
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23] mbona unauwa mbu kwa kutumia nyundo mkuu, huyo jamaa kwanza kila kitu anajifanya anajua, sisi tunamuelewa vizuri sn, kwanza jamaa anasifa ya URONGO
Asante kwa kunijuza hilo nitakuwa natunza energy yangu.
 
Putin anapatana sana na ma Fascist.Angalia urafiki wake na PM wa Hungary.
Tatizo ni kwamba hayo majina mabaya wanawabandika kwa kuwa hawakubaliani nao kwa namna flani flani.
 
Umemaliza kila kitu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jerusalem ni mji wa Israel kwa zaidi ya miaka 3000 iliyopita,kabla ya kuwepo hata Taifa la Palestine!
Kama muengereza hakuwakusanya ulaya huko walipokua hawatakiwi kutokana na ufisadi wao kupelekea kila nchi kuwakataa basi zingekua zimebaki koba zao tu huko ulaya

Hakuna nchi inayoitwa Israel hata kama viongozi wote wa dunia watie saini[emoji16], ni sawa na kulazimisha ndoa za jinsia moja, Mungu ameahidi kuwapiga laana mpaka dunia itaisha hata Bible yako ya kale imeongea hivyo ndio maana poulo akaiupdate kuwa agano jipya [emoji23], hata Yesu wako wanamkataa ww unawashobokea [emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
iache iamue basi[emoji23][emoji23]
 
wewe unajua zaidi kuliko PUTIN hongera kijana
ila kama ungekua umemskiliza BIDEN vyema usingeongea hizi mboyoyo[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kwasababu atawauzia UCHINA kwahio hakuna shida MKUU hayo unayoyasema RUSSIA na PUTIN waliishayajua kabla hawaja yafanya yaaani
 
we jamaa unazingua clinton alisema hyo maneno miaka zaidi ya mitano nyuma kbla biden hajawa rais, hata bush alikiri ni jamaa n smart ht trump mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…