Trump amsifia sana Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya

Vipi Lissu naye hajasifiwa?
 
Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.
Wivu wa nini sasa wakati yule mwingine akisafiri sana ni hapo Chattle kwenda kudeka kwa Mama!😂😂😂🤣🤣🤣
 
JK alikua mwanadiplomasia hasa huwezi kulinganisha na huyu mkolomije
 
Trump haaminiki huyo, anayemuamini ayasemayo ana mtindio wa ubongo si bure
 
Njoo na Tanzania.
 
Uhuru anazidi kutiwashia mataa mekundu sasa kwa EA
Inaonekana kwamba amekubali kwenda Kenya baada ya kukutana na Uhuru ana kwa ana na kumsifia kuhusu personality yake. Inaonyesha umuhimu mkubwa wa kuwa na rais mwenye uwezo wa diplomasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unatumia ubongo wako vibaya maana hakuna ulicho kiandika kinacholingana na kilichopo kwenye uzi.
Kwa hiyo unataka Raisi Magufuli asikie wivu? Hivi ninyi watu ni lini mtamature na kuwa watu wazima? Mambo ya kuchonganisha Wanaume wawili ni ya watoto wadogo na Wanawake, ndo maana JF imejaa malalamiko kila siku mnaachwa na Wanawake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…