Kweli zama zetu zimeisha
Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama
Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania
Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit
Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi Lissu naye hajasifiwa?
Pole sana, naona mafuriko yamekuathiri sanaTrump haaminiki huyo, anayemuamini ayasemayo ana mtindio wa ubongo si bure
Nimezifungulia uzi huu huu, unasemaje?
Umeelewa au nikutafsirie? Huoni kuwa nati zako ubongoni zimefyatuka? Huu uzi jukeaa la siasa tz unatafuta nini?
Ameichongea Kenya kwa alshabab...soon you here boom! More Kenyans dead !
Hata playstation kuna EA. Labda anaongoza huko.
Hii tweet mbona haipo? Umeiokota wapi?Unaweza kusema kuwa sasa nyota ya Kenya inazidi kuwaka kuelekea kuimarisha uchumi wao. Hii yote inatokana na rais wa nchi yao kuwa karibu sana na rais wa dunia yaani rais wa USA [emoji1259].
Wenzetu nawaona kama wanakimbia zile mbio za nyika ambazo kwao kila mashindano ya dunia huwa ni washindi tu.
Mwezi wa nne mwaka huu wakenya watakuwa na ugeni mkubwa sana kwa kumpokea rais Trump.
Ushahidi wa haya someni hapo chini, isiwe kesi sisi Kagame anatutosha. View attachment 1351105
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa au nikutafsirie? Huoni kuwa nati zako ubongoni zimefyatuka? Huu uzi jukeaa la siasa tz unatafuta nini?
wewe kweli Mmawia.
Hata playstation kuna EA. Labda anaongoza huko.
Hakuna jipya , mwanadamu hata akusifie vipi bado atakugeuka tu
sent from toyota Allex
Kikwetu ni hali fulani. Nikikwambia utahama ufipa.
Hii tweet mbona haipo? Umeiokota wapi?
Wivu ningeanzisha uzi. Wewe ndiye mwenye wivu na kenya. Ona aibu!
Alisifiwa, ila wakasema ni fake news...Gabriel zakaria akapigwa stop, Jamaa akaenda akamtetea wakamrudisha.sijui wa kwetu atasifiwa lini?
Kikwetu ni hali fulani. Nikikwambia utahama ufipa.
Wivu ningeanzisha uzi. Wewe ndiye mwenye wivu na kenya. Ona aibu!
Atakapo alikwa na rafiki yake wa rwandasijui wa kwetu atasifiwa lini?