Vipi Lissu naye hajasifiwa?
Usiwe na wasi wasi mzee; Marekani ya Trump ya leo ile ya hao marais uliotaja. Sehemu nyingi za dunia haziiheshimu Marekani tena kama ilivyokuwa zamani. Viongozi wengine wengi wameshamajua kuwa Trump ni kama mtoto wa shule ya msingi tu aliye na powere ambazo hata hajui ziyo tu jinsi yakuzitumia balia pia hajui mipaka yake. Ndiye rais pekee anaweyeza kutlalamaika hadharanai kuwa bendera za nchi ziliruka nusu mlingoti kwa ajili ya msiba wa seneta au congressman fulani lakini ndugu za marehemu hawakunishukuru! jamaa huyo hapo alipo hajui hata Kenya ipo sehemu gani ya Africa na wala hajui historia ya Kenya kwa sababu huwa hasomi!Kweli zama zetu zimeisha
Jumla ya Ma Rais wa Marekan waliotembelea Africa wakiwa Madarakan ni watatu, Clinton, Bush na Obama
Hakuna Safari ambayo walikuja Africa bila ya kuzuru Tanzania
Hata Obama alipoingia Madaran basi Muungwana wa Msoga ndie alikuwa Rais wa Kwanza kualikwa Kwa State visit
Role ya JK kimataifa imeibiwa na Kenyata
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto kabwe una tabu sana sasa mtu kumsifia mtu si mambo ya kawaida kama ana maslahi nae!
shida ni lugha, tutamuta Museveni kama alivyosaidia kule uganda
Unaaambiwa hadi anga LA Tanzania litakuwa close hakuna ndege kupaa wala kutua [emoji81][emoji81][emoji81]Kwa hiyo mwezi wa nne anatua Kenya
Na mitandao ya simu lazima itatatizika kwa mudaUnaaambiwa hadi anga LA Tanzania litakuwa close hakuna ndege kupaa wala kutua [emoji81][emoji81][emoji81]
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonekana kwamba amekubali kwenda Kenya baada ya kukutana na Uhuru ana kwa ana na kumsifia kuhusu personality yake. Inaonyesha umuhimu mkubwa wa kuwa na rais mwenye uwezo wa diplomasia.
Museveni Hilo neno democracy ni vocabulary kwakeRais wa Marekani uwa atembelei nchi zisizo za kidemocrasia. kipindi kile Kikwete alipo boresha democrasia obama akaja. kuna shida sana kwenye democrasia africa mashariki ukiondoa Kenya.
Ulishakoment kuhusu hii ya puppet mkuu... umezidisha dozi nini?
haha ha aa.., ila ni kweli ile ilikua ni magumashiAlisifiwa, ila wakasema ni fake news...Gabriel zakaria akapigwa stop, Jamaa akaenda akamtetea wakamrudisha.
mmhh... kama ni hivyo basi hizi sifa atazisikia tu kwa wengine, yeye apewe za hapa tu!
True uhuru is a great leader, you will suffer once a Raila or Roto rules you, you are better of with a president from NE at least watafungua biashara nyingi sana na watu wengi watapata kazi, vitu cutakuwa rahisiUhuru is really a good leader otherwise with Raila we could find out miracles.
Yet Kenya under his excellency Uhuru Kenyatta is becoming stronger more and more.