Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,133
- 12,361
Hata watu wote anaowateua kwenye sehemu nyeti, ni ma special agent toka Urusi.Hapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Hiyo ni sera ya marekani sehemu nyingi lazima wavune!Trump ni tapeli sana, mbwembwe zote kumbe anamendea rasilimali za Ukraine?
Nimemchukia ghafla na hana utu kabisa
Inawezekana kulikuwa hakuna maelewano mazuri na Ukraine, kabla ya kuingia madarakaniHapa Trump kaongea ujinga Sana
Hivi aliyevamiwa ndo dictator au aliyevamia mwenzake
Ni aibu Rais wa Taifa kubwa kuwa pupet wa Russia
Hapo anaevuna ni Urusi, Trump ameingia ikulu kuhakikisha Putin anapata kila anachotaka.Hiyo ni sera ya marekani sehemu nyingi lazima wavune!
marekani hafanyi biashara isiyo na faida hapigi domo bure!Hapo anaevuna ni Urusi, Trump ameingia ikulu kuhakikisha Putin anapata kila anachotaka.
Ulaya nzima imechanganyikiwa haijui cha kufanya.
Raisi wa Ufaransa ameitisha kikao juzi halafu kwny kikao hawajajua wadeal vipi na Trump.
Ni disaster.
Hakuna Marekani tena, Trump ni puppet wa Russia.marekani hafanyi biashara isiyo na faida hapigi domo bure!
😁Hakuna Marekani tena, Trump ni puppet wa Russia.
Lord Peter Benjamin Mandelson, a Baron, and prominent UK politician aliwahi kusema, ''Donald Trump is reckless and a danger to the world''
Hakuna cha pandikuzi la Urusi wala nini Marekani inataka kujiondoa kwenye vita ya Ukraine bila aibu kupitia mgongo wa Trump.Kuna watu tuliwaambia wakawa wakali. Trump ni pandikizi la Urusi. Amewekwa whitehouse na Putin.
Sasa hivi Marekani inaendeshwa kwa rimoti kutoka Moscow.
BAdo zelensky kachomoaHajanyimwa kwa maana walisaini mikataba kabla ya silaha kupelekwa Kiev
Ukraine amejiunga na NATO?Ni kweli Urusi ndio walianza kurusha mabomu, baada ya Ukraine kukiuka makubaliano kwa kutaka kujiunga NATO.
Achilia mbali, chuki zilizopo kwa utawala wa sasa kwa Ukraine; Ukraine wangeweza kuzuia hii vita kama wasingeonyesha nia ya kujiunga na NATO.
Mfano mdogo tu; pale kisiwani wajichukulie maamuzi wao wenyewe ya kuruhusu labda jeshi la Iran kuweka 'base' pale, hapo utaona moto utakaotokea.
Nia ya kutaka kujiungaUkraine amejiunga na NATO?
Unamchomolea America?? A nuclear and Veto power state??BAdo zelensky kachomoa
Ni kweli Urusi ndio walianza kurusha mabomu, baada ya Ukraine kukiuka makubaliano kwa kutaka kujiunga NATO.
Achilia mbali, chuki zilizopo kwa utawala wa sasa kwa Ukraine; Ukraine wangeweza kuzuia hii vita kama wasingeonyesha nia ya kujiunga na NATO.
Mfano mdogo tu; pale kisiwani wajichukulie maamuzi wao wenyewe ya kuruhusu labda jeshi la Iran kuweka 'base' pale, hapo utaona moto utakaotokea.
Zanzibar ni nchi na Tanzania ni muungano wa nchi mbili huru Tanganyika na Zanzibar.Trump ni mtu wa hovyo, siyo Mwanasiasa na Wala siyo Mwanadiplomasia, bali ni Mfanyabiashara. Anataka Madini ya Ukraine, baada ya kukataliwa na Zelensky akaamua kumjengea chuki.
Aidha, Ukraine ni Nchi inayojitegemea, ina Sovereignty yake na ilikuwa na HAKI zote kabisa za kujiunga na NATO bila ya kuingiliwa na Utawala wa Urusi. Ukraine siyo Jimbo la nchi ya Urusi.
Zanzibar ni sehemu ya nchi ya Tanzania, kamwe haiwezi kufananishwa na Ukraine.
Nafikiri hufahamu mambo ya kiusalama ya nchi.Trump ni mtu wa hovyo, siyo Mwanasiasa na Wala siyo Mwanadiplomasia, bali ni Mfanyabiashara. Anataka Madini ya Ukraine, baada ya kukataliwa na Zelensky akaamua kumjengea chuki.