Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

Sir John Deere

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
14,246
Reaction score
27,509
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.
Screenshot_20250318-213945.png
 
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.View attachment 3275604
tatizo lugha inakusumbua
 
Msikiti TV
 
Kichwa cha habari na habari yenyewe havijatulia kabisa!
Alichokipata Iran wakati aliposhambuliwa na ndege za Israel ni siri yake!
"Aliumizwa" vibaya sana na ndio maana hadi leo hajajaribu kujibu tena.
Ule moto uliowashwa Tel Aviv na Iran hukuona au unajisahaulisha. Sasa ile ilikua rasharasha.
 
Nilijua tu una agenda binafsi mkuu. Anyways umetisha mkubwa🙌
Sidhani kama kusema Iran iliishambulia Israel operation true promise 1 and 2 ni agenda binafsi maana Dunia nzima iliona hata wewe mwenyewe uliona labda tu kama hutaki kuamini kama uliona ili kujipa matumaini wiki za mbele.
 
Kosa Lina anza apo kwenye username ume jichagulia jina la kikafiri ilihali wewe ni maamuma taqbiiiiiiiiir sheikh
 
Watu wanasema Iran imechoka, lakini kutwa Tump anaitaja mdomoni kwake
 
Hizi story za Israel kuangamizwa nimeanza kuzisikia tangu miaka ya 40.
 
Mkuu kwanini umetafsiri uwongo ? Kwakifupi ni kwamba " U.S.A na RUSSIA wamefikia makubaliano ya pamoja (consensus), kwamba Iran izuiliwe kupata uwezo wa kutishia uwepo wa Israeli na wakatazwe kuzalisha mabomu ya nuclear". Mkuu hayo maneno yote yamebase hapo...Na Trump kasema ivyo sababu ukanda ule IRAN ndio the powerful country, sababu ya fossils fuels na natural gas yeye ndio supplier mkubwa, na kusema ukweli Iran atasikiliza sababu yeye hata nuclear sidhani kama wanazo, Russia wanazo 5500+ USA wanazo 3700+, na hawa wafalisayo wanayo 90 tu...sasa huwez kubishana na watu wana nuclear bomb elfu 10000 kwa ujumumla
 
Kosa Lina anza apo kwenye username ume jichagulia jina la kikafiri ilihali wewe ni maamuma taqbiiiiiiiiir sheikh
Mimi ni mkatoliki hata kama ningekua Muslim hujasikia waislamu wanaitwa John?
 
Back
Top Bottom