Trump amuomba Putin kuongea na Iran asiangamize Israel

Mkuu kwanini umetafsiri uwongo ? Kwakifupi ni kwamba " U.S.A na RUSSIA wamefikia makubaliano ya pamoja (consensus), kwamba Iran izuiliwe kupata uwezo wa kutishia uwepo wa Israeli na wakatazwe kuzalisha mabomu ya nuclear". Mkuu hayo maneno yote yamebase hapo...Na Trump kasema ivyo sababu ukanda ule IRAN ndio the powerful country, sababu ya fossils fuels na natural gas yeye ndio supplier mkubwa, na kusema ukweli Iran atasikiliza sababu yeye hata nuclear sidhani kama wanazo, Russia wanazo 5500+ USA wanazo 3700+, na hawa wafalisayo wanayo 90 tu...sasa huwez kubishana na watu wana nuclear bomb elfu 10000 kwa ujumumla
Proposal imetolewa na Trumpet's kwenda kwa putin una marekani amependekeza mengi tu ikiwa ni pamoja na Russia isishambulie Ukraine kwenye miundombinu ya nishati.lakini Russia imepuuuza yote hayo na saa Moja baada ya kikao chao Russia iliwasha moto wa kutosha huko Ukraine.
 
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.View attachment 3275604

Lugha ya Kizungu ulisomea madrassa ww, pumbaf
 
Mkuu kwanini umetafsiri uwongo ? Kwakifupi ni kwamba " U.S.A na RUSSIA wamefikia makubaliano ya pamoja (consensus), kwamba Iran izuiliwe kupata uwezo wa kutishia uwepo wa Israeli na wakatazwe kuzalisha mabomu ya nuclear". Mkuu hayo maneno yote yamebase hapo...Na Trump kasema ivyo sababu ukanda ule IRAN ndio the powerful country, sababu ya fossils fuels na natural gas yeye ndio supplier mkubwa, na kusema ukweli Iran atasikiliza sababu yeye hata nuclear sidhani kama wanazo, Russia wanazo 5500+ USA wanazo 3700+, na hawa wafalisayo wanayo 90 tu...sasa huwez kubishana na watu wana nuclear bomb elfu 10000 kwa ujumumla
Iran Wamesharutubisha nyuklia Kwa % zinazoweza kuyaftua Kwa masaa 24 lakini sera za Iran ni kutokumiliki silaha za maangamiziakubwa ya watu according to Islamic laws, nyuklia ikipigwa inaua Hata mijusi katika eneo Hilo hakibaki kitu hapatakalika eneo Hilo kabisa ndio maana unaona Iran hawana mpango nazo lakin urutubishaji wa hizo ndio unaowatesa wamarekani na WA Israel na ukilinganisha na uwezo wa makombora uoga unawaingia hakitabaki kitu pale tel viv na vionga vyote vya palest
 
Katika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.View attachment 3275604
mambo ya kujikuta kukimbilia kuanzisha thread bila kufanya utafiti wa source yako kutoka sehemumbalimbali ukurupukaji
 
Back
Top Bottom