Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Unajua maana ya kimasomaso!?Tittle ya uzi wako na hicho kilichoongolewa ni vitu viwili tofauti...una agenda gani binafsi?, ama lugha ya Malikia inakutoa kimasomaso?
Hapana sijui. Naomba unijuze.Unajua maana ya kimasomaso!?
tatizo lugha inakusumbuaKatika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.View attachment 3275604
Msikiti TVKatika mazungumzo Yao hii leo Rais Trump alimdokeza Rais Putin kuwa ajitahidi Iran isiwe katika Hali ya kuiangamiza Israel.
Wajuvi wa mambo wanaeleza kuwa hatua hii tayari inaonesha kuwa marekani inachukua tahadhari zote kabla ya kupambana na Iran ikiwa ni pamoja na kuwasiliana kwanza na Russia.View attachment 3275604
Kamsikilize issa matonaHapana sijui. Naomba unijuze.
Ule moto uliowashwa Tel Aviv na Iran hukuona au unajisahaulisha. Sasa ile ilikua rasharasha.Kichwa cha habari na habari yenyewe havijatulia kabisa!
Alichokipata Iran wakati aliposhambuliwa na ndege za Israel ni siri yake!
"Aliumizwa" vibaya sana na ndio maana hadi leo hajajaribu kujibu tena.
Nilijua tu una agenda binafsi mkuu. Anyways umetisha mkubwa🙌Ule moto uliowashwa Tel Aviv na Iran hukuona au unajisahaulisha. Sasa ile ilikua rasharasha.
tatizo lugha inakusumbua
Sidhani kama kusema Iran iliishambulia Israel operation true promise 1 and 2 ni agenda binafsi maana Dunia nzima iliona hata wewe mwenyewe uliona labda tu kama hutaki kuamini kama uliona ili kujipa matumaini wiki za mbele.Nilijua tu una agenda binafsi mkuu. Anyways umetisha mkubwa🙌
Mimi ni mkatoliki hata kama ningekua Muslim hujasikia waislamu wanaitwa John?Kosa Lina anza apo kwenye username ume jichagulia jina la kikafiri ilihali wewe ni maamuma taqbiiiiiiiiir sheikh