Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
It depends on the insect and why you’re killing it.A wise person will never burn the whole forest just because some insects within it are not their favorites.
Safi kabisaRais wa zamani wa Marekani Bado anaendelea kukerwa na Mapenzi ya Jinsi Moja.
View attachment 3036755
Niko nasubiri jibuWale kaka zenu wa Zenji ni wakristo??
Wewe naye bogus, hakuna majina ya kiislam sema majina ya kiarabu. Majina yanatumiwa na watu wa imani tofauti tofauti.Hao lazima walikuwa mbali na Uislam ndio wakapotea, inawezekana wana majina ya kislamu tu, we huoni hata kuna wafalme wa kiarabu wana support Israel na US, hao ni majina tu waislamu
We kondoo ulio potea wako warabu wengi tu nenda Lebanon wanaitwa John. Anthony, Alexander, Joseph hayo majina ya kiarabu?Wewe naye bogus, hakuna majina ya kiislam sema majina ya kiarabu. Majina yanatumiwa na watu wa imani tofauti tofauti.
Ukienda uarabuni kuna mtu anaitwa Mohammed lakini hata msikiti haendi na mwingine anaitwa Fauz Aziz lakini unakuta ni mkristo.
Wapi kwenye bible wameonyesha u gayHuo ni utamaduni wa kanisani, na serekali yao lazima ushike bibilia kuapa ukiwa Raisi.
Huwezi badilisha system ya democracy za kikristo gay rights 😄
AmiinTrump ana hofu ya Mungu kuliko Papa for sure! Anakemea ushenzi hadharani bila kuzungusha zungusha maneno. Straight to the point - God Created Two Genders; nothing less, nothing more.
Swali kama bibilia zenu zinakataza kwanini nchi za Western, USA na Israel wana promote gay rights?Wapi kwenye bible wameonyesha u gay
Kanisa limebariki hadharani ushoga ina maana mmeukubali na case za ushoga Vatican inaongoza tena mpk vitoto mnalawitiWale kaka zenu wa Zenji ni wakristo??
Kwa hio hapo umeona kaongea point ..Niko nasubiri jibu
Haya mambo ni very complex! Yamesambaa kuliko inavyodhaniwa; Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawitiKwanza sie c mnatuita magaidi
Sasa gaidi na ushoga wapi na wapi
Chimbuko la ukristo haliruhusu uasherati na ushoga.Usishangae kwenye dunia hi kila kitu kinawezekana, we hujaona mtu kasomea udaktari akawa engineering, badala acheze na damu, ana cheza na oil.
Kwa hio usiwe unabisha sana, maaskofu wengi ndio washika bendera za utamaduni wa ile equally ✅️
But still not right to burn the whole forest because of some mosquitoes.It depends on the insect and why you’re killing it.
Some insects, such as mosquitoes spread disease
Aiseee!Haya mambo ni very complex! Yamesambaa kuliko inavyodhaniwa; Mwalimu atupwa jela miaka 30 kwa kumshawishi mwanafunzi amlawiti
Kidini ushoga ni dhambi sawa na uzinzi pamoja na uasheratiTrump ana hofu ya Mungu kuliko Papa for sure! Anakemea ushenzi hadharani bila kuzungusha zungusha maneno. Straight to the point - God Created Two Genders; nothing less, nothing more.
unaposema kanisa limebariki izo ndoa inabidi utaje ni kanisa gani??T.A.G,KKKT,PENTECOSTE,SABATO,ROMA.Kanisa limebariki hadharani ushoga ina maana mmeukubali na case za ushoga Vatican inaongoza tena mpk vitoto mnalawiti
Uislam unaupinga ushoga kwa nguvu zote
Mashariki ya kati ndo chimbuko la Ushoga na mabasha sema wanajificha kwenye kichaka cha dini.Kwa hio hapo umeona kaongea point ..
Zenji kwan ni taifa la kiislam ?tofautisha msimamo wa dini na watu
Uislam unakataza ushoga ukiufanya kwenye nchi za kiislam unanyongwa
Aya nambie vip ukristo unakemea ushoga ?nchi za kikristo ukiwa shoga unapata adhabu au ndio unageuka kioo cha jamii mpk wazazi wanajivunia