Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ila aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Anadeal na watu hatari,watamwangamiza kwani ndio wanao mzunguka kila siku. Atafute njia nyingine kwani hii itamuumiza mwenyewe
 
Tukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.

#Trump2024
Trump sasa anavuka mstari mwekundu.

Sasa naona ameamua kujikatia tiketi ya kifo. Muda utaongea!

Let's wait!
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Kawapa wote option ya ku resign, hajataka kuwafukuza wote. Kuna tofauti.
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Siyo wote. Anataka kufanya restructuring na kupunguza baadhi na siyo kufukuza wote.
 
Back
Top Bottom