Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.