Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah,ngumungumu....ukishindwa utaipakia mate.Tukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.
#Trump2024
Kawapa wote option ya ku resign, hajataka kuwafukuza wote. Kuna tofauti.
Siyo wote. Anataka kufanya restructuring na kupunguza baadhi na siyo kufukuza wote.
Hebu niambia kitu hata kimoja cha kimfumo ambacho Magufuli alifanikiwa kukifanya na sasa hivi mashabiki wake wanaweza kujivunia. Sana sana alifundisha ''kuteka'' mihimili mingine ya uongozi, vyama vya jamii, viongozi wa dini, kuua na kuiba kura.Magufuli kazaliwa upya USA katika mwili wa Trump🤣. Kwetu ilikuwa Magufulication of Africa. Kwao itakuwa Trumplization of America.
Uongo!Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Hahahahah huoni hata aibu, ile system ya EGa aliitengeneza Jakaya nayo?Hebu niambia kitu hata kimoja cha kimfumo ambacho Magufuli alifanikiwa kukifanya na sasa hivi mashabiki wake wanaweza kujivunia. Sana sana alifundisha ''kuteka'' mihimili mingine ya uongozi, vyama vya jamii, viongozi wa dini, kuua na kuiba kura.
Hicho ndicho kitakachofuatia.Nawaona akina lee harvey oswald, jack rubby, maerciello, Trafficante wakiandaliwa upya kutekeleza kazi yao kama ile waliyoifanya dallas 1963.
Unaamini Trump anataka kufukuza watu wote CIA? Unajua CIA kuna wafuasi wa Trump pia?Kama boss hakutaki ofisini halafu unapitishwa barua ya kusaini usaini kuacha kazi au ujiuzulu kuna tofauti gani na kufukuzwa?!
Ngumu sana, secret service wa sasa hivi wao wenyewe ni MAGA crewNawaona akina lee harvey oswald, jack rubby, maerciello, Trafficante wakiandaliwa upya kutekeleza kazi yao kama ile waliyoifanya dallas 1963.
Kuwa serious basi, ni trump huyu alikuwa almost alambe mchanga baada ya kupunyuliwa skioNgumu sana, secret service wa sasa hivi wao wenyewe ni MAGA crew