Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Amekurupuka Sana Trump kwenye suala hili.
Huwezi kuamka asubuhi na kukurupuka eti unataka kulivunja Jeshi la Ulinzi, hii inawezekana vipi?
Kuna taratibu ndefu Sana ambazo anapaswa kuzifuata kabla ya kufikia Uamuzi wa namna hii wa kutaka kulivunja Jeshi katika nchi.
hahahah U.S.A Sio TZ
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Askari waliokutwa na vyeti feki pamoja na vyeti vilivyotumiwa na zaidi ya mtu mmoja Tanzania ilikuwaje mkuu??
 
Uzuri huyu ana max of 3+ yrs has to go for good. Oneni uzuri wa Katiba imara.

Sio kule kwingine anaweza kubadili Katiba na kusalia madarakani forever.
Trump anaweza kusema katiba yao inamruhusu kugombea muhula mwingine tena kwa sababu hajaongoza vipindi viwili mfululizo.
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Huyu Babu atawavuruga kweli kweli.
 
Trump anaweza kusema katiba yao inamruhusu kugombea muhula mwingine tena kwa sababu hajaongoza vipindi viwili mfululizo.
Mabaraza yote anayo pamoja na sirikali nini kitashindikana,kama sharia uwingi wa kufanya mabadiliko anao akiona MAGA bado kutimia na waamerika wanamwelewa hilo ni chap kwa haraka.
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Huyo trump akawishiwi kuchapwa risasi, tunzeni hii comment
 
Amekurupuka Sana Trump kwenye suala hili.
Huwezi kuamka asubuhi na kukurupuka eti unataka kulivunja Jeshi la Ulinzi, hii inawezekana vipi?
Kuna taratibu ndefu Sana ambazo anapaswa kuzifuata kabla ya kufikia Uamuzi wa namna hii wa kutaka kulivunja Jeshi katika nchi.
Tatizo lenu mnawaabudu sana watu wa usalama kana kwamba Marekani ni Tanzania
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969

CIA awe nao makini sana, killers sana hao
 
Back
Top Bottom