Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Magufuli kazaliwa upya USA katika mwili wa Trump🤣. Kwetu ilikuwa Magufulication of Africa. Kwao itakuwa Trumplization of America.

Kama angekuwepo yeye pekee, ndio angepokea mwaliko wake pekee African wa kuapishwa last month.

Ingekuwa balaa zaidi watu kusaga meno nchini
 
Toka hapa, sijakutumia kadi ya mwaliko uje kwenye uzi wowote. Kuna nyuzi nyingi za kukata mauno, mpira wa Simba na Yanga, M23 n.k ambazo unaweza kujikita huko.
Jamaa anataka muanze kujadili jinsi mama anavyoupiga mwingi au jinsi anavyomwaga ajira kwa watoto wa maskini na jinsi anavyonunua magoli ya simba kwa hela za walipa kodi.
 
Marekani sio Tanzania wewe. That's American, a father of all nations.
Ni kweli kabisa unachosema, lakini wanayo mamlaka hayo endapo kama kweli imethibitika kwamba target anastahili kupata malipizi ya aina hiyo pale inapolazimu.

Tatizo lenu mnawaabudu sana watu wa usalama kana kwamba Marekani ni Tanzania
Elewa point yangu ya hapo juu
 
Huwa sikubaliani na porojo za kuwa na plan za miaka 50 au 100 mbele, kwanza mambo yanavyobadilika hivi kwa kasi katika teknolojia unawezaje kuwa na mipango ya miaka 20, 50, 100 n.k?!
Kuna watu wanaamini hata uwepo wa Ai leo ni matokeo ya mipango ya miaka iliyopita na imeanza kutumika kwenye agency za serikali halafu baadae ndo wanaruhusu iwe commercial.
 
TISS imekuwa ni moja ya jumuia za CCM kama zilivyo Jumuia ya akina mama na umoja wa vijana.
Unaweza ukaweka loyalists wa chama chako kwenye taasisi muhimu kama TISS, ila make sure hao loyalists wanalinda maslahi ya taifa kwanza kabla hawajalinda maslahi yako...!! Sasa kwa hapa kwetu hao wako pale kulinda maslahi ya chama tawala.
 
They're Paramilitary Wing of the ruling party?
 
Kuna watu wanaamini hata uwepo wa Ai leo ni matokeo ya mipango ya miaka iliyopita na imeanza kutumika kwenye agency za serikali halafu baadae ndo wanaruhusu iwe commercial.
Kuna mambo machache unaweza kuyawekea mipango ya muda mrefu mfano mipango miji, nishati na mazingira. Uwepo wa AI sio mipango ya serikali, ni jambo ambalo limekuwa la sekta binafsi wakifanya inventions na innovations na kila wakati kuja na kitu kipya. Modern Computing imeanza tangu miaka ya 1900's na wanasayansi wamekuwa wanavumbua na kuboresha kila mara kadri muda unayoenda ila sio kwa kujiwekea plan za miaka 20, 50 au 100 eti tunataka tuewe tumefikia hapa.
 
Mkuu, Kuna watu wanaamini haya mambo huanzia serikalini kwanza ndipo linarudi kwa jamii. Yaani inovation yenye manufaa huanza kutumika serikalini kupitia wanausalama wake kisha baadae linaachiwa liwe commercial.
 
Unaweza ukaweka loyalists wa chama chako kwenye taasisi muhimu kama TISS, ila make sure hao loyalists wanalinda maslahi ya taifa kwanza kabla hawajalinda maslahi yako...!! Sasa kwa hapa kwetu hao wako pale kulinda maslahi ya chama tawala.
Ni vigumu sana loyalists wa chama kuwa loyalists wa taifa katika mfumo wa vyama vingi ulio na ushindani, labda katika mfumo wa chama kimoja kama China hilo jambo ndio linawezekana.
 
Hahaha fala kweli wewe, hata aibu huoni utakuwa jizi wewe au muhanga wa vyeti feki.

Kwanza kinachofanywa na DOGE tu huko marekani hata Jpm aliwahi kukifanya miaka yake ya mwanzo enzi hizo akabaini kuna watu walishakufa ila bado wanaendelea kupokea mishaara na madudu mengine kibao....!! Halafu bila aibu unauliza eti taja hata kimoja, yaelekea umelelewe na kuzoea kuishi kwenye mfumo corrupt wewe.

Suala la kuiba kura kwa ccm halikuanzia kwa JPM
Basi katika ujinga aliofanya yule kichaa ni hili la vyeti fake. Hakukuwa na positive impact yoyote, zaidi ni inner circle yake ilikuwa inachukuwa advantage kufanya yao. Kama english inapanda soma kitabu cha Kabendera ndiyo ujue Magufuli ni shetani aliyeharibu nchi yetu.
 
Mkuu, Kuna watu wanaamini haya mambo huanzia serikalini kwanza ndipo linarudi kwa jamii. Yaani inovation yenye manufaa huanza kutumika serikalini kupitia wanausalama wake kisha baadae linaachiwa liwe commercial.
Sijawhi kusikia vitu vya kiteknolojia zaidi ya GPS na silaha vilivyoanzia serikalini.
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969

Tunachekelea ila soon yatahamia kwetu. US is too big to get disturbed by sailing ⛵️
 
Back
Top Bottom