Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm nimesikia. Taasisi nyeti za serikali kama CIA zinaanza kutumia ndo baade vibali vinatoka.Sijawhi kusikia vitu vya kiteknolojia zaidi ya GPS na silaha vilivyoanzia serikalini.
Tatizo ww ulikuwa mnufaika wa vi ngo vya kipigaji ndo maana umepanic kwa hatua za Trump na ndo maana kila dakika una anzisha nyuzi za kumkandia.Toka hapa, sijakutumia kadi ya mwaliko uje kwenye uzi wowote. Kuna nyuzi nyingi za kukata mauno, mpira wa Simba na Yanga, M23 n.k ambazo unaweza kujikita huko.
Yeah kweli kabisa Trump hajawahi kukanyaga JFHajajifunza toka JF
Huo ni uongo, kwanza nafikiri ni hatari kiusalama mfano kusema email, kifaa cha internet au app fulani itumiwe kwanza na taasi nyeti ndipo iende uraiani. Unapoona sekta binafasi za magharibi zinashirikiana na serikali zao sio kwa sabubu ya utiifu bali wanpoona maslahi ni makubwa sana. Shirika la utengenezaji ndege, silaha au nguo n.k linaposhirikiana na serikali ni kwa sababu serikali ni mteja wa uhakika na pia rahisi ku inflate bei.Mm nimesikia. Taasisi nyeti za serikali kama CIA zinaanza kutumia ndo baade vibali vinatoka.
Yaani inasemekana hakuna iq kubwa duniani isiyo tiifu kwa serikali yake kwanza. Haya ya commercial hufata baade.
Wewe kilaza mimi sijawahi kumkubali Trump tangu nimemjua kwa mara ya kwanza, hata alipowaua ndugu zako Qasem Soleimani na Al-Baghdadi.Tatizo ww ulikuwa mnufaika wa vi ngo vya kipigaji ndo maana umepanic kwa hatua za Trump na ndo maana kila dakika una anzisha nyuzi za kumkandia.
Ww huna haki yeyote ya kumpangia Trump cha kufanya maana ww sio mmarekani na wala Marekani haikuhusu.
Ww komaa na ccm yako achana na nchi za watu.
Nilvyofika hapo uliposema suala la vyeti fake halikuwa na positive impact nikajua labda nikiendelea kusoma ntakuta una hoja kwanini unasema hivyo...?!! Lakini nasogea mbele nakuta porojo tu, halafu mbya zaidi eti unanitajia habari za kibendera kwamba ndio ameelezea uongozi wa Magufuli kwa usahihi? Hivi uko serious kweli wewe na una akili sawa sawa?Basi katika ujinga aliofanya yule kichaa ni hili la vyeti fake. Hakukuwa na positive impact yoyote, zaidi ni inner circle yake ilikuwa inachukuwa advantage kufanya yao. Kama english inapanda soma kitabu cha Kabendera ndiyo ujue Magufuli ni shetani aliyeharibu nchi yetu.
Sawa ila sio hawa CIA, hawa jamaa ni hatari.Ulaya hata CDF anahojiwa na kamati ya usalama ya Bunge. Mungu wabariki sana wazungu.
Maneno makali unayotumia yanaonyesha huna hoja yoyote. No way, kwa mtu yeyote mwenye akili na elimu anaweza kusema kuwa Magufuli alikuwa kiongozi mzuri. Na vivyo hivyo, lile zoezi lake la kijinga la vyeti fake halikuwa na manufaa yoyote kwa nchi. Ila najua watu kama wewe, kwa sababu ya elimu ndogo na isiyo sahihi pamoja na kukosa exposure, Magufuli alikuwa ndiyo kila kitu kwenu.Nilvyofika hapo uliposema suala la vyeti fake halikuwa na positive impact nikajua labda nikiendelea kusoma ntakuta una hoja kwanini unasema hivyo...?!! Lakini nasogea mbele nakuta porojo tu, halafu mbya zaidi eti unanitajia habari za kibendera kwamba ndio ameelezea uongozi wa Magufuli kwa usahihi? Hivi uko serious kweli wewe na una akili sawa sawa?
Yaani kibendera huyo kibaraka ambaye kila mwenye akili timamu anajua chuki zake kwa Magufuli ndio zimemsukuma kuandika kile kitabu kilichojaa uongo,uzandiki na mihemko eti Leo hii ndio awe chanzo cha kuaminika kuhusu mambo yaliyofanywa na Magufuli?
Ni wajinga na wapuuzi tu kama huyo ndio watamchukulia serious huyo kibendera.
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Hiyo nchi ya USA sio Africa. Demokrasia na mifumo yake iko imara sana.Anadeal na watu hatari,watamwangamiza kwani ndio wanao mzunguka kila siku. Atafute njia nyingine kwani hii itamuumiza mwenyewe
Kwanini na wao wasifanyiwe buyout offer iwe 2yrs pay.TISS imekuwa ni moja ya jumuia za CCM kama zilivyo Jumuia ya akina mama na umoja wa vijana.
Ugunduzi mkubwa, sio vitu vya kawaida kama hivyo vifaa vya email. Kwani kati ya serikali na raia nani walianza kuzitumia computer?Huo ni uongo, kwanza nafikiri ni hatari kiusalama mfano kusema email, kifaa cha internet au app fulani itumiwe kwanza na taasi nyeti ndipo iende uraiani. Unapoona sekta binafasi za magharibi zinashirikiana na serikali zao sio kwa sabubu ya utiifu bali wanpoona maslahi ni makubwa sana. Shirika la utengenezaji ndege, silaha au nguo n.k linaposhirikiana na serikali ni kwa sababu serikali ni mteja wa uhakika na pia rahisi ku inflate bei.
Ila napenda anavyowapelekea moto 😹😹Magufuli kazaliwa upya USA katika mwili wa Trump🤣. Kwetu ilikuwa Magufulication of Africa. Kwao itakuwa Trumplization of America.
CIA huwaga hawajali demokrasia wakitaka lao.Yaani kwa kifupi anataka kukata tawi alilo kalia.Hiyo nchi ya USA sio Africa. Demokrasia na mifumo yake iko imara sana.
... anaweza kubakia kwa kuhakikisha anapandikiza mtu wake mihula ifuatayo!Uzuri huyu ana max of 3+ yrs has to go for good. Oneni uzuri wa Katiba imara.
Sio kule kwingine anaweza kubadili Katiba na kusalia madarakani forever.