Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Unaamini Trump anataka kufukuza watu wote CIA? Unajua CIA kuna wafuasi wa Trump pia?

Trump kapeleka barua CIA yote akitumaini kuna watu wengi hawapendi kufanya kazi naye na hao ndio anaotaka wajiuzulu. Si kwamba anataka CIA wote wajiuzulu.

CIA needs continuity.
Kuna wakati nilikuwa nafikiri CIA ni muhimili unaojitegemea USA!
 
Uamuzi wake huo utafungua milango ya kila rais atakayeingia madarakani aajiri C.I.A agents wapya......

Wataanza kufanya kazi kwa mikataba....kwani anaposhindwa urais boss wako ama kukoma uongozi nawe TUMBO JOTO....
 
Marehemu alikuwa mbishi,ajue kutofauti kati ya taaluma na siasa.
Wao wapo miaka yote yeye atakuwepo miaka 4 TU.
 
... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
Ha ha ha ha kumbe ni uongo buaaanaaa.....

Hili linatupa funzo huku Afrika na kwa hawa waipingao katiba ya Tanzania kuwa Rais ana nguvu.....

Hebu ona , waliotengeneza katiba ya Marekani hawakuona kuwa Rais anaweza kuajiri hao hao wafanyakazi wapya ?!!
 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Marekani pia ina watu wavivu wanataka kupewa tu mapesa na serikali wacha akili ziwakae. Walifanya baadhi ya walipa kodi kama mashetani
 
Ha ha ha ha kumbe ni uongo buaaanaaa.....

Hili linatupa funzo huku Afrika na kwa hawa waipingao katiba ya Tanzania kuwa Rais ana nguvu.....

Hebu ona , waliotengeneza katiba ya Marekani hawakuona kuwa Rais anaweza kuajiri hao hao wafanyakazi wapya ?!!
... mkiwa na rais asiye na mamlaka ni kama hamna rais!
 
Back
Top Bottom