Note: ila hii haimaniishi kwamba bibi tozo yuko sahihi kujaza machawa na uvccm pale TISSTukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.
#Trump2024
Kazi ipoHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ila aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Anadeal na watu hatari,watamwangamiza kwani ndio wanao mzunguka kila siku. Atafute njia nyingine kwani hii itamuumiza mwenyeweHuko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ila aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Hio Mifumo ndio aliitumiaga Mwendazake kufanya usafi kwenye Wizara mbali mbali kwa sera ya "Kuinyoosha nchi"Tukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.
#Trump2024
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ila aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Anadeal na watu hatari,watamwangamiza kwani ndio wanao mzunguka kila siku. Atafute njia nyingine kwani hii itamuumiza mwenyewe
Trump sasa anavuka mstari mwekundu.Tukienda na ule ukweli hili ufanye kazi kwa ufanisi zaidi upate matokeo tarajiwa ni lazima watendaji wako wa chini wawe ni watu wanaoamini katika ideology na maono yako.
#Trump2024
Kawapa wote option ya ku resign, hajataka kuwafukuza wote. Kuna tofauti.Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Sasa sijui na yeye mtamuita Dikteta uchwara kama ilivyokuwa kwa hayati "Jiwe"Kichaa Trump!
Siyo wote. Anataka kufanya restructuring na kupunguza baadhi na siyo kufukuza wote.Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miwezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969