Maneno makali unayotumia yanaonyesha huna hoja yoyote. No way, kwa mtu yeyote mwenye akili na elimu anaweza kusema kuwa Magufuli alikuwa kiongozi mzuri. Na vivyo hivyo, lile zoezi lake la kijinga la vyeti fake halikuwa na manufaa yoyote kwa nchi. Ila najua watu kama wewe, kwa sababu ya elimu ndogo na isiyo sahihi pamoja na kukosa exposure, Magufuli alikuwa ndiyo kila kitu kwenu.
Maneno makali ndio lugha stahiki unapokuwa una address jambo dhidi ya wajinga wajinga kama wewe.
Kuna bro mtaani alimalizaga form four mwaka 2007 mwanza sec akafeli kabisa alipata dv zero, baada ya hapo akaanza kufanya kazi ya ubaunsa kwenye maclub... mwaka 2013 nikaja kuskia anafanya kazi kwenye ofisi ya DAS huko kahama kama mmoja wa wasaidizi wake..
Miaka imeenda Magufuli ameingia madarakani ule msako wa vyeti feki naye pia likampitia jamaa akarudi mtaani.
Sasa imagine wakati jamaa anakula maisha kule serikalini ilihali hana sifa kabisa maana aliingia kwa kufoji vyeti(aliidanganya serikali) hapo kuna vijana ambao walikuwa wamesoma mpaka elimu ya chuo na wana ufaulu mzuri wako mitaani wamekosa ajira, na wakati kumbe ajira yao kuna mpuuzi mmoja aliyeingizwa kazini kiujanja ujanja pasipokuwa na sifa ndio ameikalia.
Halafu eti huku JF kuna wapumbavu ambao mnabeza kabisa zoezi la kuondoa vyeti feki, kwa hiyo ulitaka tuendelee kuwa taifa ambalo linaendeshwa mambumbu wakati huo watu wenye elimu na sifa wakikaa pembeni sababu ya mfumo corrupted mliokuwa mmeusimika?
Kwanza unaanzaje kuniambia mimi nina elimu ndogo na wakati wewe mwenyewe tu hapo ulipo hauthamini elimu mjinga wewe?? Kwa mtu yeyote ambaye anayeithamini elimu hawezi kuwa na akili mbovu kama zako kinabo wewe.
Wewe fala huna elimu yoyote, hakuna mtu educated aliyeisotea elimu yake miaka 14'-17 darasana Leo hii akaona ni sahihi mtu aliyefoji cheti akaikaikalia ajira ya mtu mwenye degree halafu yule mwenye degree akakaa pembeni....!!
Yaani kabisa unasema eti lile zoezi halikuwa na umuhimu, tunatengeneza taifa la aina gani sasa kwa mawazo yako hayo? Kwamba haina haja ya kupoteza muda darasan wewe chonga cheating chako kisha tafuta connection uingie kwenye system ya ajira, ule maisha sio ndio???
Wewe akili Huna kabisa ni hasara kubwa hata kwa familia yako sio tu kwa taifa.