Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Inavyoonekana Elon Musk amewafugia hasira sana hawa wanasiasa wa waafrika kusini na alisuburi siku moja awe na ushawishi hili aweze kuwakomesha...!!
Screenshot_20250210_203317_X.jpg
 
============


George Washington, anayejulikana kama Father of the Nation ama 'Baba wa Taifa la Marekani',pia alikuwa "SpyMaster" ambaye alitegemea mitandao kama vile Culper Ring(modern day CIA?)kushinda Vita vya Mapinduzi, kama ilivyoelezewa kwenye kitabu cha Alexander Rose "Washington's Spies" Matumizi yake ya kimkakati ya kijasusi yanatofautiana na uongozi wa dunia ya sasa(His strategic use of intelligence contrasts with modern leadership)

Hotuba ya Donald Trump ya 2017 baada ya kuapishwa ilitoa wito na alisema we need a 'revolution of common sense,' prioritizing loyalty over establishment norms.

Wakati George Washington alikuwa akiwalenga wapinzani wa Uingereza, ubabebabe wa Trump na msuguano na CIA na Majenerali wa Jeshi n.k kwa mfano, kuwapuuza wakosoaji kama kuwaita" RINO", ama "not very good people" unawalenga wapinzani wake popote walipo, hilo linaibua maswali kuhusu jinsi viongozi wanavyoshughulikia upinzani-iwe kama uhaini au kwa hoja zinazoibuliwa. Iwe ni ULAYA AFRIKA ASIA na MAREKANI.

wapo wanaotaka kutuaminisha kama baadhi ya waumini wa DJ.T hana uhusiano wowote ule na DJ Mbowe😜 -hapa JF kuwa " huko magharibi haya hayatokei"



Nashauri ukisome hicho kitabu kama bado hujakisoma, mm nimekisoma. Uelewe hawa CIA wametokea wapi na anacho kitaka DJT.

=======
Trump kapeleka barua CIA yote akitumaini kuna watu wengi hawapendi kufanya kazi naye na hao ndio anaotaka wajiuzulu. Si kwamba anataka CIA wote wajiuzulu.
Rejea barua aliyoandika Jenerali Benedict Arnold akiomba majina ya wapelelezi waliomo kwenye mfumo wa Culper Ring(CIA ya nyakati hizo?) Kutoka kwa Jenerali Robert Howe.

Unafikiri DJ.T aliandika kama BA?
 
Matokeo ya uchaguzi yanatoa dira ya nchi. Inaoenakan Waamerika walitamani sana kuishi katika nchi zisizokuwa na mfumo wa utawala imara kama za Afrika wakamchagua mtu atakayevunja mifumo waliyokuwa nayo. Miaka minne ijayo Marekani haitakuwa na tofauti za nchi za kidikteta kama Afrika, Mashaariki ya kati na Urusi.

Kuna waarabu wa Michigan walipiga kura zinazoitwa uncommitted kwa vile Biden hakumaliza vita ya Gaza, hivyo indirectly wakamchagua Trump ambaye amesema kuwa Gaza ni non-existent! Sasa sijui walipata nini kutokana na kura zao hizo. Kuna waamerika wengi waliopiga kura za namna hiyo za against badala ya kufanya analysis ili kutoa kura za for na sasa wanazijutia kura zao; too late. Tlifundisha kuwa debe tupu halikosi kelele. Ukiwa na candidate mwenye kelele nyingi, ujue kichwani hamna kitu. Atafanya maamuzi ya kelele kelele tu as long as anawafurahisha wafuasi wake

 
Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
"Watu wanasema ..."!Ndiyo wakome kutumika na kuumiza watu bure bila makosa.
 
Tz ikitokes kupata rais akataka kufuta jeshi la polisi ili aajiri upya kuna kosa??
 
Visasi si kwa Waaafrika tu!
Jamaa ni noma!
Mfanyabiasha anaendesha nchi kama kampuni yake! Watakoma!
 
😀😀 Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).
Lakini elewa kwamba nimesema: "hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe".
Kuna mahari unaweza gusa lakini kuna mahari huwezi gusa. Reform ain't be 100%
Mahari??
 
Uzuri hata wewe Original yako ni shithole country.

Sasa huyo anaye ongea ni mpwa wake na still hata documentary, japo hazikiri wazi ila ushahidi unaindicate hawa jamaa.

CIA wanauwezo wa kufanya tukio bila kuacha ushahidi na wakiacha wanatafuta njia ya huo ushahidi wa kutokuhusishwa na chombo chao.

Sasa hawa unawaudit vipi wakati wao wapo mbele ya muda kuliko hao Mauditor.
Usidanganyike saaana na drama plots za kwenye movies. Inawezekana hata hiyo shakeup kubwa anayotaka kujifanya TRUMP ni hao hao senior officers wa CIA ndio waliomshauri kufanya hivyo.

Shithole countries wanachojua ni kubebana tu, yule mtoto wa RPC tumbebe
 
Usidanganyike saaana na drama plots za kwenye movies. Inawezekana hata hiyo shakeup kubwa anayotaka kujifanya TRUMP ni hao hao senior officers wa CIA ndio waliomshauri kufanya hivyo.

Shithole countries wanachojua ni kubebana tu, yule mtoto wa RPC tumbebe
Jifunze kutofautisha kati ya movie na documentary ni vitu viwili tofauti.

Documentary ni habari ya uchunguzi wa kina kwa kifupi inangia deep sana.

Kumbe unaelewa mchakato huku kwenu Shithole na mbele kwenye kutafuta hawa majasusi ni tofauti. Ndio ujue wale jamaa kwanza wanachukua vijana ambao wanatalent na akili, kila move wanayo ifanya ni calculated na wana exit plan pale wanapokwama.
 
Jifunze kutofautisha kati ya movie na documentary ni vitu viwili tofauti.

Documentary ni habari ya uchunguzi wa kina kwa kifupi inangia deep sana.

Kumbe unaelewa mchakato huku kwenu Shithole na mbele kwenye kutafuta hawa majasusi ni tofauti. Ndio ujue wale jamaa kwanza wanachukua vijana ambao wanatalent na akili, kila move wanayo ifanya ni calculated na wana exit plan pale wanapokwama.
Maamuzi yote ya Trump ni kutoka kwa washauri wake wa ofisi ya Rais ambao ni wataalam waliobobea katika sekta husika.

Mungu wabariki sana wazungu. Wana roho njema sana. Hawana upendeleao wala kubebana kisa ni mtoto wa Balozi Mstaafu..
 
Hicho ndicho kitakachofuatia.

Lakini kwa namna ninavyowafahamu hao watu naamini kwamba Bw. Trump lazima Polonium, Novichok, Ricin au Asernic acid itamhusu.
Wabongo! Yani wewe wa Mpumbigwako unawafahamu hao watu zaidi ya Trump na serikali yake yote?

Usimchukulie poa sana Trump, huyo ni a born survivor, wamemuwekea viunzi vyote unavyovijua wewe ila leo ni POTUS na ameshashinda urais mara tatu.

Pia unatakiwa ufahamu yeye ni msimamizi tu wa agenda kubwa sana ya kuirudisha nchi kwa wananchi na anaungwa mkono na wamarekani kuliko unavyodhani.

Familia ya Bush, Clinton, Obama, Biden na the entire establishment amewastaafisha siasa, naendelea kukusisitiza usimchukulie poa kabisa.

Huyu ni kama Magufuli tuu, anagusa pale kila mtu anaogopa kugusa so ni either atawanyoosha hao washenzi or he will die tryin.

Huyo Mungu akimuweka hai kwa mipango anayoiweka Marekani, atafuta ushenzi wote walokua wanafanya kwa kutumia hizo 'three-letter agencies' na ataisafisha Marekani kurudia ukuu ilokua nao miaka ya nyuma.

Hao CIA amewapa option wale wote wanaoona hawawezi kuendana na agenda ya MAGA wajiweke pembeni, FBI pia ameshaomba orodha ya wote waliohusika kufuatilia na kuendesha kesi za wale J6ers, wote watakaoonekana waliwatendea ndivyo sivyo wataenda na maji.

Sisi tuliwatangulia Marekani kumpata Trump wetu, wakati wao walikua tayari kumlinda kwa gharama yoyote, sisi bado hatujajitambua.
 
Maamuzi yote ya Trump ni kutoka kwa washauri wake wa ofisi ya Rais ambao ni wataalam waliobobea katika sekta husika.

Mungu wabariki sana wazungu. Wana roho njema sana. Hawana upendeleao wala kubebana kisa ni mtoto wa Balozi Mstaafu..
Wewe unazani kila mshauri anamshauri bila kufanyiwa vetting? Halafu jiulize vetting anafanya nani?

Anachokifanya Trump kukata kuti alilokalia.
 
Hicho ndicho kitakachofuatia.

Lakini kwa namna ninavyowafahamu hao watu naamini kwamba Bw. Trump lazima Polonium, Novichok, Ricin au Asernic acid itamhusu.
Trump au Elon mmoja wapo lazima apigwe shaba,hivi tumesahau kua Trump amenusurukia kupigwa risasi juzi tu hapa na naamini Trump anafanya vyote hivi akijua hana mda mrefu madarakani.
 
Back
Top Bottom