Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Njoja atafikiwa hata huko kibwegereYani wewe upo Uko Kibwegele unampangia Trump kana kwamba hajui anachofanyaa .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoja atafikiwa hata huko kibwegereYani wewe upo Uko Kibwegele unampangia Trump kana kwamba hajui anachofanyaa .
Atakuwa basi zwazwa tu. 😆😅👌🏿👆🏿👆🏿👊🏿🤜🏿🤛🏿Haha! ameanza kushika idara nyeti akae kwa password
Rejea barua aliyoandika Jenerali Benedict Arnold akiomba majina ya wapelelezi waliomo kwenye mfumo wa Culper Ring(CIA ya nyakati hizo?) Kutoka kwa Jenerali Robert Howe.Trump kapeleka barua CIA yote akitumaini kuna watu wengi hawapendi kufanya kazi naye na hao ndio anaotaka wajiuzulu. Si kwamba anataka CIA wote wajiuzulu.
"Watu wanasema ..."!Ndiyo wakome kutumika na kuumiza watu bure bila makosa.Huko Marekani Trump anataka wafanyakazi wote wa shirika la ujasusi la Marekani(CIA) waondoke atawalipa miezi 8 bure ili aajiri upya, wengi wanasema anataka kuajiri watu MAGA tu katika serikali nzima katika taasisi zote! Marekani imeharibika sana, imekuwa kama kinyago cha mpapure.
View attachment 3231969
Mahari??😀😀 Yeah! Niko Matombo lakini ABC za CIA Nazifuatilia(ga).
Lakini elewa kwamba nimesema: "hawezi chezea sharubu za CIA kizembe zembe".
Kuna mahari unaweza gusa lakini kuna mahari huwezi gusa. Reform ain't be 100%
Ni Autocorrect ya simu yangu unavyounda herufi. Nashukuru kwa ukosoaji.Mahari??
Usidanganyike saaana na drama plots za kwenye movies. Inawezekana hata hiyo shakeup kubwa anayotaka kujifanya TRUMP ni hao hao senior officers wa CIA ndio waliomshauri kufanya hivyo.Uzuri hata wewe Original yako ni shithole country.
Sasa huyo anaye ongea ni mpwa wake na still hata documentary, japo hazikiri wazi ila ushahidi unaindicate hawa jamaa.
CIA wanauwezo wa kufanya tukio bila kuacha ushahidi na wakiacha wanatafuta njia ya huo ushahidi wa kutokuhusishwa na chombo chao.
Sasa hawa unawaudit vipi wakati wao wapo mbele ya muda kuliko hao Mauditor.
Jifunze kutofautisha kati ya movie na documentary ni vitu viwili tofauti.Usidanganyike saaana na drama plots za kwenye movies. Inawezekana hata hiyo shakeup kubwa anayotaka kujifanya TRUMP ni hao hao senior officers wa CIA ndio waliomshauri kufanya hivyo.
Shithole countries wanachojua ni kubebana tu, yule mtoto wa RPC tumbebe
Kwahiyo kuna wengine hawatakiwi?? Kwanini wasifukuzwe tu wasiotakiwa.Kawapa wote option ya ku resign, hajataka kuwafukuza wote. Kuna tofauti.
Hata kwa password atanyakuliwa na password mkononi[emoji3]Haha! ameanza kushika idara nyeti akae kwa password
Maamuzi yote ya Trump ni kutoka kwa washauri wake wa ofisi ya Rais ambao ni wataalam waliobobea katika sekta husika.Jifunze kutofautisha kati ya movie na documentary ni vitu viwili tofauti.
Documentary ni habari ya uchunguzi wa kina kwa kifupi inangia deep sana.
Kumbe unaelewa mchakato huku kwenu Shithole na mbele kwenye kutafuta hawa majasusi ni tofauti. Ndio ujue wale jamaa kwanza wanachukua vijana ambao wanatalent na akili, kila move wanayo ifanya ni calculated na wana exit plan pale wanapokwama.
Hawezi kuwafukuza kazi maelfu ya watu bila sababu.Kwahiyo kuna wengine hawatakiwi?? Kwanini wasifukuzwe tu wasiotakiwa.
Wabongo! Yani wewe wa Mpumbigwako unawafahamu hao watu zaidi ya Trump na serikali yake yote?Hicho ndicho kitakachofuatia.
Lakini kwa namna ninavyowafahamu hao watu naamini kwamba Bw. Trump lazima Polonium, Novichok, Ricin au Asernic acid itamhusu.
Wewe unazani kila mshauri anamshauri bila kufanyiwa vetting? Halafu jiulize vetting anafanya nani?Maamuzi yote ya Trump ni kutoka kwa washauri wake wa ofisi ya Rais ambao ni wataalam waliobobea katika sekta husika.
Mungu wabariki sana wazungu. Wana roho njema sana. Hawana upendeleao wala kubebana kisa ni mtoto wa Balozi Mstaafu..
Inawezekana ila inaweza kusababisha civil war, kwa wamarekani wengi Trump ni redline ambayo kwa maslahi mapana ya nchi yao hatakiwi kuguswa.Nna wasiwasi huyu Mzee watamla kichwa soon
Trump au Elon mmoja wapo lazima apigwe shaba,hivi tumesahau kua Trump amenusurukia kupigwa risasi juzi tu hapa na naamini Trump anafanya vyote hivi akijua hana mda mrefu madarakani.Hicho ndicho kitakachofuatia.
Lakini kwa namna ninavyowafahamu hao watu naamini kwamba Bw. Trump lazima Polonium, Novichok, Ricin au Asernic acid itamhusu.