Tetesi: Trump anataka kufukuza wafanyakazi wote wa CIA ili aajiri upya!

Kuna wakati nilikuwa nafikiri CIA ni muhimili unaojitegemea USA!
 
Uamuzi wake huo utafungua milango ya kila rais atakayeingia madarakani aajiri C.I.A agents wapya......

Wataanza kufanya kazi kwa mikataba....kwani anaposhindwa urais boss wako ama kukoma uongozi nawe TUMBO JOTO....
 
Marehemu alikuwa mbishi,ajue kutofauti kati ya taaluma na siasa.
Wao wapo miaka yote yeye atakuwepo miaka 4 TU.
 
... kwa sifa ilizokuwa inamwagiwa CIA, kwamba wanaweza hata kumuwekea rais mipaka ya kiutendaji, nilikuwa nina haki ya kuwaona kama muhimili!
Ha ha ha ha kumbe ni uongo buaaanaaa.....

Hili linatupa funzo huku Afrika na kwa hawa waipingao katiba ya Tanzania kuwa Rais ana nguvu.....

Hebu ona , waliotengeneza katiba ya Marekani hawakuona kuwa Rais anaweza kuajiri hao hao wafanyakazi wapya ?!!
 
Marekani pia ina watu wavivu wanataka kupewa tu mapesa na serikali wacha akili ziwakae. Walifanya baadhi ya walipa kodi kama mashetani
 
... mkiwa na rais asiye na mamlaka ni kama hamna rais!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…