Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Deni la taifa lina shida gani kwa Marekani?Unaelewa maana ya kiuchumi kuwa na deficit budget? Taifa lazima likope kutoka vyanzo vingine
Hiyo inaongeza deni la taifa ndio maana kila mwaka deni la Marekani linakua kwa kasi sana
Kwa hiyo kuwa na deni kubwa la taifa ni jambo la maana kwenye uchumi sio?
Marekani bado ina afford kuwa na deni la taifa la ukubwa wowote ili mradi halichochei inflation ya kupitiliza, debt servicing ya kupitiliza na dollar bado ni sarafu ya kimataifa. Hiyo ni faida ya wao kumiliki sarafu ya dollar($). Hata hivyo hii ni mada ngumu sana ambayo huwezi kuilewa kirahisi.