Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
- #61
Silaha, ndege, dawa za binadamu
Na ndiyo maana kwa ujumla China imeizidi Marekani kwenye industrial output
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Silaha, ndege, dawa za binadamu
Acha kuwa na mawazo mgando, uwazi wa uendeshaji serikali magharibi ni tofauti sana na kwa Wakomunisti. Nchi zote za magharibi bajeti zao za ulinzi kiujumla na taarifa za wazi, sio kama Wachina walioficha hadi takwimu za wagonjwa wa COVID wakaitumbukiza dunia kwenye janga la Pandemic.Ungekuwa unajua kuna siri za nchi hazijadiliwi bungeni , usingesema hivyo. Wewe una USA Propaganda kichwani na unaziamini bila hata kuhoji. Unaruhusiwa kuendelea unavyoamini
Huelewi hata recession ni nini, unakomalia vitu usivyoelewa.Uelewa wako ni mdogo sana ni kubwa ila ipo katika recession, tangu jana nimekuelewesha hilo
Na anataka wapunguze silaha za nyuklia ila china wamemwambia aanze yeye maana yeye ndiiye mwenye silaha nyingi zaidi wakati china anataka awe na makombola buku kufikia 2030"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."
– Trump
Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu ila sio kwa China na Urusi.
Sasa hivi Marekani level yake ni kuyafokea mataifa ya Ulaya. Wiki hii mataifa ya Ulaya yamesemwa na kudhalilishwa na mawaziri wa Marekani. Alianza waziri wa ulinzi wa Marekani akaja waziri wa mambo wa nje wa Marekani.
Ukitaka kuona matokeo ya kwenda naye kibabe Marekani, kwenye mkutano wa kuzungumzia muafaka wa vita vya Ukraine ambapo Trump amepanga kukutana na Putin hakuna taifa lolote la Ulaya wala Ukraine yenyewe haijaalikwa. Wababe tu watakaa mezani.
Akielezea maono yake ya kutetereka kwa world order Trump pia alisema:
"Ningependa kurejeshwa kwa Urusi katika G7, ambayo ilisimamishwa mwaka 2014 baada ya Moscow kutwaa rasi ya Crimea ya Ukraine. Nadhani lilikuwa kosa kumtoa nje ya G7 (Putin)"
– Trump
Kwa nini Trump anataka China, Urusi na Marekani zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi? Je, Marekani imeoma haiwezi kucompete na mataifa hayo 2 kwenye military tech na capability?
Kupunguzwa kwa bajeti na matumizi ya hivi majuzi nchini Marekani ina maana kuwa haiwezi kumudu bajeti yake ya kijeshi na ulinzi?
Kwa nini Marekani imechachamaa kuzitaka nchi za NATO kutumia 5% ya GDP zao kwenye masuala ya ulinzi? Je, Marekani imelemewa na michango inayotoa NATO kama mfadhili mkuu?Dunia inahitaji sana balance of power sio nani superpower
Kada wa CCP amesema anataka bidhaa ngumu tu za manufacturing, hataki mambo malaini ya Google, Android, Microsoft, Cloud computing, WhatsApp, VISA, Mastercard, bank, Movies, Music, Afya, Elimu n.k Wachina wao wanataka kazi za kutoka jasho tu!🤣🤣HUYU KAKAA HUKO TANDAIMBA ANARISHWA PROPAGANDA ZA WACHINA NA WARUSI WALE HAWAJUI VIZURI KWA PROPAGANDA MAREKANI INA PRODUCTS NYINGI SANA ANAZIUZA TENA WEWE UNALIPIA BILA KUJUA INCLUDING GOOGLE
Huelewi hata recession ni nini, unakomalia vitu usivyoelewa.
Kada wa CCP amesema anataka bidhaa ngumu tu za manufacturing, hataki mambo malaini ya Google, Android, Microsoft, Cloud computing, WhatsApp, VISA, Mastercard, bank, Movies, Music, Afya, Elimu n.k Wachina wao wanataka kazi za kutoka jasho tu!🤣🤣
Unaye hangaika naye ni western influenced kichwani, kwanza anaamini USA wako wazi kila kitu hadi military issues.Mbona hivyo vyote China anavyo. Sasa tofauti iko wapi?
Marekani na washirika wake wangeanza kutusafirisha upya kama bidhaa tukiwa uchi mara ya piliImagine duniani kusingekuwa na mataifa kama China na Urusi ya kuichallenge Marekani na NATO
Unaye hangaika naye ni western influenced kichwani, kwanza anaamini USA wako wazi kila kitu hadi military issues.
1. Ukimuuliza nani alimuua Kennedy na kwanini hajakamatwa?
2. Federal Reserve Bank nani anamiliki?
3. NASA propaganda au utendaji wake uko wazi na akina nani?
Kwanza hata yeye hawezi kuwa wazi kwa issue zake za kifamilia kwa kila mtu kiasi kwamba watu wanajua in and out ya maisha ya familia yake.
Anadhani ujinga ule wa USSR chini mapandikizi bado utatumika tena kuvunja nguvu za Urusi na China ambacho hasa ndio lengo kuhakikisha BRICKS inakufa, ni kwi inaweza ife kwa kuwatumia kama Saudi Arabia ambao wanaweza wahitoe ghafla, lkn Militarily China na Urusi wala NK hatawahadaa asubiri kizazi kingine sio leo
Marekani na washirika wake wangeanza kutusafirisha upya kama bidhaa tukiwa uchi mara ya pili
Yote haya kwa ajili ya binadamu? Tunahitaji common enemy kutoka sayari za mbali, tuna kiu sana ya vita sasa kukosekana kwa adui inabidi tujitengenezee uadui baina yetu.Na anataka wapunguze silaha za nyuklia ila china wamemwambia aanze yeye maana yeye ndiiye mwenye silaha nyingi zaidi wakati china anataka awe na makombola buku kufikia 2030
Naamini na najua hivyoUmesema vyema, fantastic analysis
Wanakwambia bomu moja tu linatosha ila watu wanayo zaidi ya bukuYote haya kwa ajili ya binadamu? Tunahitaji common enemy kutoka sayari za mbali, tuna kiu sana ya vita sasa kukosekana kwa adui inabidi tujitengenezee uadui baina yetu.
Na raia wanafurahia kanakwamba yakitumika watabaki salama. Yaani tunachukiana sana. HahahaWanakwambia bomu moja tu linatosha ila watu wanayo zaidi ya buku
Serikali ya Marekani ni ya kinafiki sanaNa raia wanafurahia kanakwamba yakitumika watabaki salama. Yaani tunachukiana sana. Hahaha
Hawa jamaa USA huwa Wana kawaida hiyo,wakiwazidi wengine hukaa kimya,wakizidiwa hutaka ulinganifu.Yeye USA Ni nani mpk anitake nipunguze bajeti ya pesa nilizotafuta kwa jasho langu.
Hawa jamaa USA huwa Wana kawaida hiyo,wakiwazidi wengine hukaa kimya,wakizidiwa hutaka ulinganifu.
Sijisemei kama porojo Nina mifano hai,
Mfano miaka ya 80 USA walipoona wamezidiwa na Urusi kwenye makombora ya masafa marefu wakataka uwepo mkataba wa kupunguza silaha Kali baina ya Urusi na USA.
Walipoona Urusi imeyumba kiuchumi na kusambaratika kwa USSR wakaanza kuunda Tena silaha Kali,Urusi alipowakumbusha wakamwambia kama anaweza na yeye anaweza kutengeneza,Sasa Urusi wamekua na nguvu Leo wanataka wapunguze bajeti za ulinzi.
Kwa kifupi Hawa jamaa ni wajanjawajanja.
Tatizo liko kwako. Inaonekana wewe ni mmoja ya vijana wa kitanzania ambao wengi hawataki kusoma vitabu hivyo hawajui kabisa tulikotoka bali wanadandia vi-habari vya hapa na pale kwenye mitandao na kuanzisha ubishi.Natamani kwenye huo mkutano Xi na Putin wamshauri tu afunge military bases zake 750 zilizo katika mataifa mbalimbali
Halafu ajionee jinsi atapunguza bajeti ya ulinzi ya Marekani na kufanya mambo mengine ya maana kwa Wamarekani wanaokabiliwa na inflation, gharama kubwa za afya, homelessness, kuondoa recession kwenye industrial production n.k
Hoja yako ni nini tafadhali kwenye hii mada?Tatizo liko kwako. Inaonekana wewe ni mmoja ya vijana wa kitanzania ambao wengi hawataki kusoma vitabu hivyo hawajui kabisa tulikotoka bali wanadandia vi-habari vya hapa na pale kwenye mitandao na kuanzisha ubishi.