Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humu kuna kulishana matango pori. Ninachojua hii ni tecnic nyingine USA anataka kutumia kuzidhoofisha Urusi na China. Lkn najua hawatamkubalia . Mengine tusidanganye hunu . Hakuna mwenye taarifa kamili juu ya bajeti ya kijeshi ya nchi husika zaidi ya kilee kinekuwa reported au kutumia google kama source ya taarifa au media nyingine. Hakuna kitu kinaitwa Balance of Power, chenye ukweli, kila nchi inatamani kuwa super power kwa nyanja zote za maisha. Ukisikia mgomvi wako anasema tuache kupigana jua mkao aliokuwepo haukuwa rafiki, ila akikaa vzr ataanza ugomvi. USA ameona kwa sasa dunia itamfanya fukara kuliko kwa kuwa technolojia imepanuka hata nchi za kawaida zinaweza kumletea madhara maana zinapata support toka China au Urusi.
USA ni wajinga tuu. Mbona Afrika haji na sera za economic sharing ili kuzikwamua nchi hizi ambazo zimewekewa mtego wa mikopo ili ziendelee kuwa tegemezi? Ameleta Demokrasia ilia kwa ujinga qa Qaafrika wabaki wanakimbizana na utamaduni wasioujia na kuiba mali zao wenyewe kwa kutumia madaraka vibaya? Mbona hasimamii hili. Mfano ni DRC hapo wapo kuiba na hawana hata huruma.
Rubbish idea
Marekani inaelemewaje wakati huu ambapo imesitisha misaada ya matrilioni kwa mfano hela zilizokuwa zinakuja Africa? Common sense haikuambii it is saving more money?"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."
– Trump
Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu ila sio kwa China na Urusi.
Sasa hivi Marekani level yake ni kuyafokea mataifa ya Ulaya. Wiki hii mataifa ya Ulaya yamesemwa na kudhalilishwa na mawaziri wa Marekani. Alianza waziri wa ulinzi wa Marekani akaja waziri wa mambo wa nje wa Marekani.
Ukitaka matokeo ya kwenda naye kibabe Marekani, kwenye mkutano wa kuzungumzia muafaka wa vita vya Ukraine ambapo Trump amepanga kukutana na Putin hakuna taifa lolote la Ulaya wala Ukraine yenyewe haijaalikwa. Wababe tu watakaa mezani.
Akielezea maono yake ya kutetereka kwa world order Trump pia alisema:
"Ningependa kurejeshwa kwa Urusi katika G7, ambayo ilisimamishwa mwaka 2014 baada ya Moscow kutwaa rasi ya Crimea ya Ukraine. Nadhani lilikuwa kosa kumtoa nje ya G7 (Putin)"
– Trump
Kwa nini Trump anataka China, Urusi na Marekani zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi? Kupunguzwa kwa bajeti na matumizi ya hivi majuzi nchini Marekani ina maana kuwa haiwezi kumudu bajeti yake ya kijeshi? Kwa nini Marekani imechachamaa kuzitaka nchi za NATO kutumia 5% ya GDP zao kwenye masuala ya ulinzi? Je, Marekani imelemewa?Dunia inahitaji sana balance of power sio nani superpower
Kwa sababu hujawahi kuliona bunge kibogoyo la China likifanya mijadala ya bajeti zake hadharani unafikiri kila nchi ni sawa na China.Humu kuna kulishana matango pori. Ninachojua hii ni tecnic nyingine USA anataka kutumia kuzidhoofisha Urusi na China. Lkn najua hawatamkubalia . Mengine tusidanganye hunu . Hakuna mwenye taarifa kamili juu ya bajeti ya kijeshi ya nchi husika zaidi ya kilee kinekuwa reported au kutumia google kama source ya taarifa au media nyingine. Hakuna kitu kinaitwa Balance of Power, chenye ukweli, kila nchi inatamani kuwa super power kwa nyanja zote za maisha. Ukisikia mgomvi wako anasema tuache kupigana jua mkao aliokuwepo haukuwa rafiki, ila akikaa vzr ataanza ugomvi. USA ameona kwa sasa dunia itamfanya fukara kuliko kwa kuwa technolojia imepanuka hata nchi za kawaida zinaweza kumletea madhara maana zinapata support toka China au Urusi.
USA ni wajinga tuu. Mbona Afrika haji na sera za economic sharing ili kuzikwamua nchi hizi ambazo zimewekewa mtego wa mikopo ili ziendelee kuwa tegemezi? Ameleta Demokrasia ilia kwa ujinga qa Qaafrika wabaki wanakimbizana na utamaduni wasioujia na kuiba mali zao wenyewe kwa kutumia madaraka vibaya? Mbona hasimamii hili. Mfano ni DRC hapo wapo kuiba na hawana hata huruma.
Rubbish idea
Marekani inaelemewaje wakati huu ambapo imesitisha misaada ya matrilioni kwa mfano hela zilizokuwa zinakuja Africa? Common sense haikuambii it is saving more money?
Achana propaganda nyepesi, Manufacturing sector ya Marekani ni kubwa kuliko Finance sector.Unajua sera ya Trump ya MAKE AMERICA GREAT AGAIN inalenga nini hasa?
Kuirudisha tena Marekani kwenye uchumi unaotegemea mfg industries badala kutegemea tu financial service
Mfg industry ndiyo ilifanya Marekani na nchi za Ulaya ziwe na uchumi mkubwa tangu kipindi cha industrial revolution
Later mfg Industry ndiyo imefanya uchumi wa China, Japan, South Korea uwe mkubwa. Mfg Industry ndio real economy
Ndiyo maana hata kiwango cha ukuzi wa uchumi wa Marekani na Ulaya ni kidogo sana
Mr MAGA anatamani sana arudishe uchumi wa viwanda ila sio jambo la overnight process inahitaji kuandaa supply chain, skilled personnel n.k
Achana na hizo blaah blaah zako sijui Wahindi mara immigrants
WEWE KADA WA CHINA BHANA"Moja ya mikutano ya kwanza ninayotaka kufanya ni pamoja na Rais Xi wa China, Rais Putin wa Urusi, na ninataka kusema, tupunguze nusu ya bajeti zetu ya kijeshi na nadhani tutaweza kufanya hivyo."
– Trump
Huu ndio utamu wa kwenda naye kibabe Marekani. Marekani ni superpower kwa mataifa dhaifu ila sio kwa China na Urusi.
Sasa hivi Marekani level yake ni kuyafokea mataifa ya Ulaya. Wiki hii mataifa ya Ulaya yamesemwa na kudhalilishwa na mawaziri wa Marekani. Alianza waziri wa ulinzi wa Marekani akaja waziri wa mambo wa nje wa Marekani.
Ukitaka kuona matokeo ya kwenda naye kibabe Marekani, kwenye mkutano wa kuzungumzia muafaka wa vita vya Ukraine ambapo Trump amepanga kukutana na Putin hakuna taifa lolote la Ulaya wala Ukraine yenyewe haijaalikwa. Wababe tu watakaa mezani.
Akielezea maono yake ya kutetereka kwa world order Trump pia alisema:
"Ningependa kurejeshwa kwa Urusi katika G7, ambayo ilisimamishwa mwaka 2014 baada ya Moscow kutwaa rasi ya Crimea ya Ukraine. Nadhani lilikuwa kosa kumtoa nje ya G7 (Putin)"
– Trump
Kwa nini Trump anataka China, Urusi na Marekani zipunguze nusu ya bajeti zao za ulinzi? Kupunguzwa kwa bajeti na matumizi ya hivi majuzi nchini Marekani ina maana kuwa haiwezi kumudu bajeti yake ya kijeshi? Kwa nini Marekani imechachamaa kuzitaka nchi za NATO kutumia 5% ya GDP zao kwenye masuala ya ulinzi? Je, Marekani imelemewa?Dunia inahitaji sana balance of power sio nani superpower
Achana propaganda nyepesi, Manufacturing sector ya Marekani ni kubwa kuliko Finance sector.
View attachment 3237472
Achana propaganda nyepesi, Manufacturing sector ya Marekani ni kubwa kuliko Finance sector.
View attachment 3237472
HUYU KAKAA HUKO TANDAIMBA ANARISHWA PROPAGANDA ZA WACHINA NA WARUSI WALE HAWAJUI VIZURI KWA PROPAGANDA MAREKANI INA PRODUCTS NYINGI SANA ANAZIUZA TENA WEWE UNALIPIA BILA KUJUA INCLUDING GOOGLEAchana propaganda nyepesi, Manufacturing sector ya Marekani ni kubwa kuliko Finance sector.
View attachment 3237472
Dunia inahitaji balance of powerWEWE KADA WA CHINA BHANA
Nani alikwambia China wanatumia google?HUYU KAKAA HUKO TANDAIMBA ANARISHWA PROPAGANDA ZA WACHINA NA WARUSI WALE HAWAJUI VIZURI KWA PROPAGANDA MAREKANI INA PRODUCTS NYINGI SANA ANAZIUZA TENA WEWE UNALIPIA BILA KUJUA INCLUDING GOOGLE
Hao ndio wakubwa... Utashangaa Urusi anaachiwa mrembo wake Ukraine, China nae aachiwe chuchu konzi yake Taiwan na Marekani akachukue ule mlango bahari wa Panama bababe..
Ikitokea wakakubaliana hamna panya atakaeinua mdomo
HUYU KAKAA HUKO TANDAIMBA ANARISHWA PROPAGANDA ZA WACHINA NA WARUSI WALE HAWAJUI VIZURI KWA PROPAGANDA MAREKANI INA PRODUCTS NYINGI SANA ANAZIUZA TENA WEWE UNALIPIA BILA KUJUA INCLUDING GOOGLE
Deni la China ni 84% ya GDP yake, mwaka 2029 inakadiriwa deni lake litazidi GDP.Wameona kuna matumizi mabaya ya pesa ndiyo maana DOGE inataka efficiency kwenye matumizi ya pesa za Marekani. Kibunda kinatumika hovyo
Marekani ina deni la USD 36 billion, deni ni kubwa kuliko hata GDP ya nchi. Na kila baada ya siku 100 kwa wastani Marekani inaongeza deni la USD 1 trillion!
Kufikia hatua hii lazima nchi ilemewe na ndio maana wameanza kwa kupunguza unnecessary expenditures na kufanya review ya misaada yote wanayotoa.
Huyo trump mfumo unamuangalia tu anavyojibebisha ufunge kambi za nje kama guam, okinawa,guantanamo na nyingine nyingi zenye maslahi kwa usa atalamba sakafu muda mfupi kabla hajasaini hiyo karatasi, kuna muda anaachwa tu aongee kufurahisha hadharaNatamani kwenye huo mkutano Xi na Putin wamshauri tu afunge military bases zake 750 zilizo katika mataifa mbalimbali
Halafu ajionee jinsi atapunguza bajeti ya ulinzi ya Marekani na kufanya mambo mengine ya maana kwa Wamarekani wanaokabiliwa na inflation, gharama kubwa za afya, homelessness, kuondoa recession kwenye industrial production n.k
Silaha, ndege, dawa za binadamuNi industrial products zipi ambazo Marekani anauza kuizidi China?
Umesema sahihi sana mkuu. Congla...Na yale maswali mwishoni mwa uzi yamelenga ulichoandika. Marekani naona sasa kalemewa
Kwa kuongezea Marekani anataka kulegeza uhusiano kati ya China na Urusi na BRICS hasa anaposema angependa Urusi irudi kwenye G7
Marekani ameshaona haiwezi kuishinda na Urusi na China. Anataka kufanya separation anafikiri akimrubuni Urusi kwenye G7 ataweza kudeal na China peke yake
Ila kwa sasa ukaribu uliopo kati ya China na Urusi na jinsi wanavyojua ujanja wa Marekani hawawezi kuingia huo mtego
Ungekuwa unajua kuna siri za nchi hazijadiliwi bungeni , usingesema hivyo. Wewe una USA Propaganda kichwani na unaziamini bila hata kuhoji. Unaruhusiwa kuendelea unavyoaminiKwa sababu hujawahi kuliona bunge kibogoyo la China likifanya mijadala ya bajeti zake hadharani unafikiri kila nchi ni sawa na China.