Trump aokoa na kuirudisha ndoa yangu kwenye mstari

Sio kasitisha tu bali anaangalia mianya yote ya ubadhirifu
Sasa kama alikuwa kwenye wale wa vyeti feki kaenda na maji mazima
Atafute ajira tu
Vipi wewe ulipata kazi baada ya Covid au alikuwa anakulisha maana story ni ndefu
Alikuwa analishwa ndio maana akawa anafulishwa hadi vyupi na kunyimwa mbunye😂,,,Wanawake ni viumbe hatari sana kipindi ukiwa unatubu wanaweza kukufanya kama dekio tu. Usiombe uwe unasota na mke ana mishe zake.
 
Hahahahah muda wa kumsomesha namba umewadia😁,,,Waisilamu tuna msemo wetu "Kamata Din Tudan".
 

Inaonekana huu uzi Umetaka tu wadada wasome, sisi wakaka na wazee hatuna mawifi, tuna Shemeji; Ngoja hao Wadada wako uliokusudia wasome wakupe Maoni yao!

Uzi Mzima unatuita wanawake; hauna Adabu! Ndo maana ulikuwa unafua chupi pumbavu!

Na funga na kuomba huyo apate kazi akunyoshe tena maana hauna Adabu kwa wanaume wenzako!

Inaonekana washauri wako wakubwa ni wanawake!!!!!

  • wifi yenu
  • wifi yenu
  • wifi yenu!!!!!!

Shenzy wahedi!
 
Dah unafurahia mkeo ubavu wa kushoto wa kufa na kuzikana kupoteza kazi?? Haiko sawa mzee kuna sehemu unapwaya kwenye mamlaka yako ya ki mume humo ndani. Ilitakiwa udhibiti hizo dharau tangu uko jobless, wewe unatia yeye anatiwa..act like mtiaji basi
Kama hujawahi kuishi na mke anayecheza mchezo wa laki 7 kwa mwezi na bado anabadilisha mawigi na kucha kila weekend na shopping kila baada ya week 2 bila kukutegemea wewe hapo bado hujasema. Mbaya zaidi uwe unaishi nae na huna mchongo unaweza kufa kwa stress.

Mwanamke wa kibongo akimudu kushika million 2 yake tu kila mwezi ndoa lazma iwe inamtetemo wa hatari. Hapo ni roho mtakatifu awe ndani yake kuepusha kiburi na dharau kali juu ya mume.
 
Sasa hv me najipakulia tu minyama kusema ukweli sikuwahi kumfaidi wifi yenu kipindi chote nikiwa jobless na yy akiwa job, angalau sasa hv ile taste ya ndoa naiona, heshima fulani hv ya baba wa nyumba inakuja.

Kweli trump amejua kuniheshimisha
Unajipakulia kama boss lilivyokuwa linajipakulia kipindi uko lockup! Mapenzi ya kazini huwa ni balaa, mara mmebaki wawili mnagalagazana kwenye makochi, siku zingine kwenye meza!
 
Pole sana,ila wote sio wifi,ni shemeji mkuu!
 
Wewe jamaa!

Ulimuomba mungu msamaha Kwa kuanzisha uhusiano na mtu asie sahihi!!?

Huna ndoa mkuu!ilivunjika kipindi unanyimwa unyumba !nakuibia siri!Mwanamke akikunyima unyumba tu Ndoa imevunjika hapo hapo!haihitaji talaka ya mahakama!

HUYO SIO MKEO ,ULICHUKUA MKE WA MTU!OA TENA IKIBIDI!HUYO SIO MKEO!USIJIPE MATUMAINI YEYOTE COZ MAISHA NI MILIMA NA MABONDE!ATAKUJA TENA KUKUTESA KWA MARA NYINGINE KWA SASA AMEKUA SLEEPING GIANT!!
 
Siwezi sema haupo sahihi lkn wacha tuone
 
Unajipakulia kama boss lilivyokuwa linajipakulia kipindi uko lockup! Mapenzi ya kazini huwa ni balaa, mara mmebaki wawili mnagalagazana kwenye makochi, siku zingine kwenye meza!
Hahaha sijui kama ilikuwa hivyo, all in all ni muda wng sasa wa kujipakulia minyama
 
Pia anaweza kuwa wifi kwako acha makasiriko mkuu
 
Pole na Hongera..Wanawake siku zote wanaishi kwa mahesabu kama ulikuwa hujui, ukiona mwanamke anakuonesha jino lake la mwisho ujue kuna kitu kipo vizuri ndani, kinyume chake kuna kitu hakija kaa sawa..ushauri fanya yako kwa faida yako ya baadaye nasio kumfurahisha mwanamke.
 
Kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…