Trump apewe nuclear codes

Heh hehee! nilizungukwa demu na huyo jamaa? demu yupi huyo?

Sijawahi kufikiria kuhusu demu wa JF hata siku moja, kama yupo a screenshot PM aweke hapa.Maana nadhani ndo zitakuwa fikra za wengi.
Cha kuwaambia ni ''Muwe mnamshauri huyo mtukufu wenu'' panapotokea pa kusifiwa au kukosolewa apokee kwa mikono miwili.
 
Dah! jamaa kaonesha reaction kubwa kuliko stimuli, mbaya zaidi ni chain ya negative reactions.

Kwenye mind yake keshakariri kila anayempinga ni hater, mtu kama huyo unamwaacha tu.
Mna chuki tu.hamna lolote.hauwezi ukakopi kitu cha mwenzio ukaandika mbele za watu.hata kama ni gazeti.jamaa wangemaindi habari ya wiki ijayo unaileta Leo?subiri mwenyewe.aitoe na wewe ndo ukopi.
 
Kaka.kama ni kazi rahisi andika makala zako tusome.hata shigongo hawezi kukubali huu upuuzi
 
Kama nisingekuwa namfahamu The bold nisingemkosoa maana nisingejua level ya upeo wake.

Huyu jamaa namfahamu vizuri kadiri ya maandiko yake hapa JF, leo ame underperform ndio maana nimemkosoa na wala sii chuki.
 
Tatizo ushasema mjinga wewe,...sijui kama tutaelewana.
Hatuwezi kuelewana maana Mimi cna chuki za kishamba kama wewe.kumdiss mtu kwa chuki.ebu andika wewe makala alafu aje MTU ailete humu.kama utafurahi.
 
Asee nashukuru sana
Nimeingia na kumfaham the bold haliso huko
Ila jamaa aliwasilisha jambo la msingi, na mimi nnacho pinga ni kuwa the bold anashindwa ku deal na mambo kama haya
 
Asee nashukuru sana
Nimeingia na kumfaham the bold haliso huko
Ila jamaa aliwasilisha jambo la msingi, na mimi nnacho pinga ni kuwa the bold anashindwa ku deal na mambo kama haya
Good.

Hata kama jambo lipo kwenye public domain, kutoa attribution ni good practice.

Kinyume cha hapo itakuwa ni udanganyifu.

Na kutoa attribution ni jambo rahisi sana.
 
Kaka.kama ni kazi rahisi andika makala zako tusome.hata shigongo hawezi kukubali huu upuuzi
Aaah
Kwa hiyo wewe unacho pinga ni nn, inawezekana kuwa alipinga kazi ni ngumi lakin whatsup sio publisher kama alisha kitupia humo ni public domain, na jf pia iko hivo hivo.
Mkitaka tuulizane hivo tutarudi kuanza ku mhoji yeye je katoa wapi alicho kiandika na mbona haja acknowldge!?
Mbona jambo dogo hili bosi
 
Good.

Hata kama jambo lipo kwenye public domain, kutoa attribution ni good practice.

Kinyume cha hapo itakuwa ni udanganyifu.

Na kutoa attribution ni jambo rahisi sana.
Ni sawa kabisa
Na mimi niliona dogo alikosea
Ila nili pinga povu la the bold lilikuwa kubwa sana kias kwamba wakwa wana fika mbali na wabishani wake
Kias kwamba nikapata hata muda wa kujihoji je yeye the bold aliacknowledge wapi kwenye kaz yake hizo info alizo toa!?
Ishu hii imepewa kiki kubwa kuliko yenyewe ilivo mkuu
 
Mna chuki tu.hamna lolote.hauwezi ukakopi kitu cha mwenzio ukaandika mbele za watu.hata kama ni gazeti.jamaa wangemaindi habari ya wiki ijayo unaileta Leo?subiri mwenyewe.aitoe na wewe ndo ukopi.
Mimi namkosoa the bold na sina chuki
Tena ninge mwona ninge mwambia the bold "kuwa na ngozi ngumu, kuwa mvumilivu, halafu unavyo taka wewe utendewe basi watendee na wengine hivo hivo"
Pia ninge mwambia yeye ni binadamu tu hawezi kuwa right muda wote na ninge maliza kwa kumwambia siyo wote wanao msifia wana msaidia
 
Ametoa Google. Na wewe toa google utuletee.lakini si kukopi kwa mwenzio
 
Huyu aliyeleta mada ndo alifaa umshauri.
 
Huyu aliyeleta mada ndo alifaa umshauri.
Yule toka mwanzo nilikubali kuwa kakosa na nna mkemea kwa hilo
Ametoa Google. Na wewe toa google utuletee.lakini si kukopi kwa mwenzio
Mimi nikiauma kuleta stori ntaleta na hata sta lalamika hata niki kuta mtu ana ipokelea tuzo ikulu.
Ila all in all nadhan mimi siyo hater the bold akitoa makala ntaisoma na akikosea ntamchana, tz alryt
 
Unaanza lini kuandika hizi makala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…