ShyaRuwa
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 7,895
- 13,643
Heh hehee! nilizungukwa demu na huyo jamaa? demu yupi huyo?Wewe mkuu ulizungukwa.demu na huyu jamaa nini??
Mtu kaonya tabia hii isijiludie anasababu ya kusema hivi sio utoto..
Hii nakara haijaisha ila alitoa kama mwangaza tuu....movie nzima yaja ila lipumbavu likacopy km ilivyoo
Wewe unadhan wote wanao tetea ni kwamba hawajui walitendalo...unapo sema ni utoto kuwa na udhibitisho kuwa ni utoto kweli
Hii ni haki yake na nakala haijamalizika halafu lilijitu linatoa public hivi kwa mfano asinge sema ni yake,then angeimaliza na'kutoa public si ndio watu kama ww mngemjia juu kuwa kacopy...
Smtymz ni dalili za wivu,WATU.WANA SABABU KWA KILA WAFACHO hata kama haupende wewe
Sijawahi kufikiria kuhusu demu wa JF hata siku moja, kama yupo a screenshot PM aweke hapa.Maana nadhani ndo zitakuwa fikra za wengi.
Cha kuwaambia ni ''Muwe mnamshauri huyo mtukufu wenu'' panapotokea pa kusifiwa au kukosolewa apokee kwa mikono miwili.