Ujinga wenu huu ndo unawaponza...Hawa midanganyika wanajua kusoma kweli ama maneno mengi ,marefu na usanii tupu?
Labda kwa mziki,longolongo,skendo,fasheni pamoja na harusi,tamasha na kina Diamondi Kiba na Wema Sepetu!
Hawa sio wa kutegemewa kwa mambo yenye tija ama research/masomo.
Sawa basi jichocheSasa kuna tofauti gani na hii hapo ya kwenu, wewe unaweka surveillance aircraft na kujaribu.kuonyesha watu kwamba Tanzania hatuna kitu. Tanzania sio nchi ya kusukumwa sukumwa kama Kenya, we aint no one's puppet hata our closest allied wanajuwa hilo.
Sasa wewe unafikiri national building is all about kuwaga hela, ni kujenga uwezo wa hiyo nchi kujiendesha yenyewe, reintroducing rule off law, kujenga tena healthcare system, education, food security. Kama vile USA wali wafanyia Europe after WWII. Kama ingekuwa hela, Iraq na Afghanistan si wangekuwa mbali sana. Wamarekani wamemwaga mahela huko lakini badoMuwe na nation building capacity mliipata wapi ilhali lenyu hilo ni HELA YA MADAFU?
Na mihela yenyu hiyo hovyo mna capability ipi ya ku wage na ku sustain a modern conventional warfare?
Huwezi ona tofauti? Unaweza linganisha reputable attack helicopter na hii yenu?Sasa kuna tofauti gani na hii hapo ya kwenu, wewe unaweka surveillance aircraft na kujaribu.kuonyesha watu kwamba Tanzania hatuna kitu. Tanzania sio nchi ya kusukumwa sukumwa kama Kenya, we aint no one's puppet hata our closest allied wanajuwa hilo.
obama ni muislamu?Obama alikuwa anawabeba Alshabaab,waislamu wenzake
mpaka wako na video ya muziki wakionyesha hizoHuwezi ona tofauti? Unaweza linganisha reputable attack helicopter na hii yenu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpaka wako na video ya muziki wakionyesha hizo
Nimeangalia ma mawani sioni tofauti, bila mawani bado sioni tofauti. Na sio nakiwa stubborn, there is no difference.Huwezi ona tofauti? Unaweza linganisha reputable attack helicopter na hii yenu?
Haha! Yaani hata hauna aibuHiki kihelcopter ndo cha kujigamba wakati kwetu huku tunatumia kama ambulance poleni sana,fungal safari njoo bongo tukakuoneshe apache tulipozificha wala hatujigambi.
Alichowafanya Trump hawatakuja wasahau!! Yaani mtu na akili yake anajisifu na haya majitu
Haya bwana, nitawaacha na wikipedia zenu za kuedit haraka haraka.Sawa basi jichoche
We have Russia Producing planes just for Kenya
Blah blah blah mingi hatutaki kusikia
View attachment 464054View attachment 464055
View attachment 464056
Hehehe am not falling for Darassa this timeHaya bwana, nitawaacha na wikipedia zenu za kuedit haraka haraka.
Mnataka kukimbia bila break .....What do you expect.
Hii nyimbo hii, inamaliza kesi nyingi sana.
Kaa tanzania mjenge nchi yenu
Nimeangalia ma mawani sioni tofauti, bila mawani bado sioni tofauti. Na sio nakiwa stubborn, there is no difference.
Beside all that, hii ya kwetu ni surveillance light aircraft, hautakiwi uwe na makelele na uweze kuingia kwa enemy haraka na kutoka bila ya kuwa detacted.
Namjibu mwehu aliyesema ndege zote ambazo zina tyre zinataka runway, sijui alikuwa nani? Ama ni wewe!!Mkuu tunachoongelea hapa ni ndege as figther planes,mbona ndio unazidi kujiaibisha sasa,helicopter na runway wapi na wapi,au sababu umeona ina tyres?
Kwahiyo kwa mawazo yako the whole Tanzanian army are depending on that one aircraft. Jana mmesena sana kuwa Kenya mna ndege nyingi, lakini ukiangalia vizuri sio ndege za kutisha, nyingi ni za kawaida hata civilian could own them tena ni za zamani tuu. Kwa kifupi Kenya haiwezi kuwatisha watanzania, not for a long short.Hahaha eti seabird Seeker ni undetectable?? Acha mchezo bana
Seabird Seeker - Wikipedia
Hawk Mk 52
f-5
And many more