Trump approves Sh43.5bn arms sale to Kenyan military

Acha huo ujinga... Wanazitumia hzo kama by da way... Siyo main combatant fighter...
Ya Kenya wamesema nini???

Smh sasa ur making my point for me

Nimeenda kulala


Soma article one Uje Upya sasa Mjinga

Ur wasting everyones Bundles



“The platform maximises the Kenyan Defence Force’s close air support ability because it is a short-field aircraft capable of using precision munitions and cost effective logistics and maintenance,” the DSCA notice states.
 
Google yangu inaniambia hizi ndege zimeundwa kwa ajili ya umwagiliaji mashamba...ohooo chonde chonde jirani zangu wakenya kuweni waangalifu msije mkazipeleka Mogadishu afu jamaa wakawa wanazitungua kwa mikuki..
ni hayo tu kwa leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] so kenya wanaenda kuwamwagilia Al-shabab ?

Jf live long...
 
Tz hamna any

African migrants in the USA BY number

1. Egypt 1.3mn
2. Nigeria 1mn
3. Ethiopia 560k
4. South Africa 340k
5. Kenya 200k
6. Ghana 180k
.
.
.
.
22. Tanzania 10k
Sasa unabisha nini wakati idadi kubwa ya wahamiaji hao ndio watakaorudishwa. Kiswahili kimekuwa kigumu kuelewa?! 7 countries from Africa watazuiwa kuingia USA mojawapo ni Kenya wapi pagumu kuelewa.
 
Tunawajua nyie wazee wa blal blah aka wazee wa vyuma chakavu
 
Sasa unabisha nini wakati idadi kubwa ya wahamiaji hao ndio watakaorudishwa. Kiswahili kimekuwa kigumu kuelewa?! 7 countries from Africa watazuiwa kuingia USA mojawapo ni Kenya wapi pagumu kuelewa.
Leta proof
 
]
Vita siyo silaha.. Vita ni uwezo na nidhamu... Leo hii SAUDI ARABIA anachezea kipondo toka kwa HOUTHI... Can you imagine? Uknow what Wasaudi wanasilaha za kisasa na zenye nguvu but hawana Morale na uwezo wa vita.. Thats why A. K 47 za Wahauthi zinawakimbiza kila kukicha.. Hicho ndicho tunachokiona kwenye jeshi la kenya...mnaoenda sana photo shops.. But uwezo zero... Waganda wamewapokonya Kisiwa... Shabab wanawachezea kila kukicha.. Jeshi limekuwa corrupted.. Bajetibkubwa ingalibwanajeshi wanashindia biskuti na maji.. Wazazi morale itatoka wapi?
 
Sasa unabisha nini wakati idadi kubwa ya wahamiaji hao ndio watakaorudishwa. Kiswahili kimekuwa kigumu kuelewa?! 7 countries from Africa watazuiwa kuingia USA mojawapo ni Kenya wapi pagumu kuelewa.
Unaona sasa unabwaja bwaja maneno tu na haujui unachoongea mko na propaganda mingi sana Tanzania kuihusu kenya mpaka mumepoteza mwelekeo wa nchi yenu issue sasa ni Kenya kile kenya Hiki

Una pinga Hauna Facts



One order reportedly will block visas from being issued to citizens of
Syria, Iraq, Iran, Libya, Somalia, Sudan, and Yemen


Restrictions likely to include months-long ban on admissions from all countries until government agencies can boost intensity of vetting process
During presidential campaign, Trump promised to issue temporary ban on Muslims entering the US

Haujui unachoongelea enda kalale mami
 
Hizo ni bedtime story ambazo hazina ushahidi, unamuibia Sammuel999 lullaby mpaka analala [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leta ushahidi, besides we're not at war, so why spending so much for something your not going to use?
Hizo ni bedtime story ambazo hazina ushahidi, unamuibia Sammuel999 lullaby mpaka analala [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Leta ushahidi, besides we're not at war, so why spending so much for something your not going to use?

there is a certain saying in military about training the hardest when you are in peacetime so you are better prepaired to fight easy in the unfirtunate evet of war............
check this out, the whole might of the tanzanan military has only 6 fixed wing aircraft fot jet training

The Tanzanian Air Force has few combat aircraft, with only six K-8 jet trainers being the only other armed fixed wing aircraft in its fleet.


----even a private training school has more training aircraft than jwtz


the rest on the article Tanzanian Air Force takes delivery of 14 new J-7G fighter jets | defenceWeb

anyway, that info about a total of less than 40 aircraft is info easily available...... but you are a Tanzanian, you are better suited to prove me wrong, the task is un to you to prove how many aircrafts you have
 
Hahaha,Kenya is the A POWERFUL NATION IN AFRICA,watch us keenly!ooh Trump hatakua na uhusiano na Kenya,oooh longolongo.....
Ohh powerful country!wacha maneno weka music,bogo land hatupigi kelele,kwani kelele za chura hazituzuii usingizi,kwenye battle tuko zaidi ya vizuri kongo,komoro na country zingine wanajua vizuri
 
Acha mbwembwe mtu wangu, kaa tulia tatizo wa Tz mnaongea sana, hiyo business na uwekezaji utawekezaje wakati wananchi wa kenya wakiwa na hofu na hakuna amani ndani kwa ndani ni vyema kuimarisha ulinzi, acha kenya ijidhatiti kwenye ulinzi wa taifa wameshapoteza watu wengi juu ya uvamizi wa watu wa Somalia
 
Kafrican, do a little forensic kabla ya kupiga kelele, the link you posted is inaccurate (I know that). Hata kama tukienda na hiyo list tuu, Tanzania inatofauti gani na Kenya? Unasema Kenya ina ndege nyinyi, lakini mbona nyingine ni za mizigo na zingine ni ndogo (single prop engine)? Nyingi ni za zamani hazisaidii kwenye close combat. Angalia link hapo chini, and Google each and every aircraft uone ndege zenu ni za aina gani. Maybe plus 8 the old Israel F-15's mnazotaka kununuwa, lakini mimi sioni tofauti na Tanzania kabisa tena ikiwa bado tuna update our airforce.

Kenya Air Force
 

Wakati mwingine mnajisemea tu kinacho wajia kichwani, hamtafakari mambo ki undani - mpo mpo tu.

Hapa mnajitapa tapa eti ndege itakuwa laden kwa laser guided bombs yenye uwezo kama wa Hellfire na Paveway!!! Hata akili ya kujihoji kwamba mbona Drones za Kimerikani zenye uwezo mkubwa zinazo rushwa kutoka Djibuti zimesheeni kwa mabom kama hayo, lakini licha ya jeshi la Amerika kushambulia mara kwa mara kwa kile wanacho kiita makambi ya Al Shaabab, mbona Drones zimeshindwa kuwadhibiti Al Shabaab?

Leo hii Wakenya ndiyo muanze kutamba na Crop Duster eti ndiyo itawamaliza Al Shabaab!!! Nyinyi watu wa ajabu sana, mwingine akaja na hoja eti ndege hizo zitawadhibiti Watanzania - just imagine? yaani baadhi ya Wakenya wana maneno ya kiwenda wazimu kabisa, vijindege mshezi ambavyo vinaweza kuwa brought down na a powerful triple As au a modern RPG ndiyo mnajifanya mmefika

Vigeu geu kama nini - Juzi hapa mliandamana kupinga uteuzi wa Trump, hapo hapo mnataka awapatie silaha za kukabiliana na Al Shabaab, yaani helicopter gunships mlizo nunua Urusi na Uchina zineshindwa kuwamaliza Al Shabaab leo hii ndiyo mtegemee a Crop Duster kutoka Merikani ndiyo itawateketeza Al Shabaab - leo ndiyo nime amini kwamba kumbe ujinga ni mzigo.
 
Is a special plane operated developed in 1990 operated by just a few
USA
Brazil
Italy
Canada
Kenya
Burkinafaso
Argentina
Chile Croatia
Israel
Spain
Yemen
Indonesia
UAE
Macedonia

Weapon cache

Sema zinatumika specifically kufanya shughuli gani? Zilianza kuhundwa kwenye miaka ya 90, tupe taarifa za mlejesho wa ufanyaji kazi wake kwenye field.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…