we inakaa mtoto mdogo sana, haujamaliza shule, ushamba na aibu ndogo ndogo hapa ndo unaexpose..... haujui hata mahojiano unajurupukwa maneno tu.... mtu mshamba utamjua tu, unaongea ukidhani uko na point kumbe hamnazo...Copy and paste zitawamaliza nyie Wajaluo... Hao wa afrigan kila siku wanapigana vita visivyoisha zingekuwa hzo ndege zinawasaidia Waamerika wasingekimbia hyo nchi
Weapon for Al shabaab not for improveming Kenyan ArmyHahaha,Kenya is the A POWERFUL NATION IN AFRICA,watch us keenly!ooh Trump hatakua na uhusiano na Kenya,oooh longolongo.....
Latest ya JWTZKwahyo nyie mkitaka nunua kitu mna a goodle kwanza yahoo answers then mnaenda nunua...
Your J-7 ni 2nd Generation war plan of 1940, not in service by even the producing nation! Only used by one poor European Nation!So old metal, tell if that will actually make Tanzania think twice? Ndege nyingi ni vibajaj too small for combat.
Sasa kuna tofauti gani na hii hapo ya kwenu, wewe unaweka surveillance aircraft na kujaribu.kuonyesha watu kwamba Tanzania hatuna kitu. Tanzania sio nchi ya kusukumwa sukumwa kama Kenya, we aint no one's puppet hata our closest allied wanajuwa hilo.
Kagua tu mkuu ktk hayo uliyoyataja hata huko nyuma unakosema tupo ni heli tubaki huko hatuwezi kufanya mambo ya kukurupuka kama hayo sasa hizi train vichwa vyake havina tofauti na mabasi tuliyokuwa nayo 1990 Leo nyie ndio mnajigamba hapa sisi ni masikini jeuri hatukurupuki kwa mtindo huo ni muda ndio utasema ukweli mtatuelewa tuKama ile kwenye kichwa chako, siujiulize nani alikuroga kwanza, na hasa ikujua kule bongo ndio kwenye wachawi!! Tafuta aliyekuroga wewe mwanzo! Kisha tafuta liyeroga TZ iwe ya mwisho kwa kila kitu! Sio uchumi, elimu, michezo, miundo msingi, technologia, name them.....
Mwambie mkuu,ungemwelekeza aingie bongo kimyakimya atulie kwenye mabarabara yetu makubwa ajionee ma B52 na mavifaru ya kirusi yakihama sehemu moja kwenda nyingine wala hatuna tambo,sasa Leo jirani kanunua videge vya kumwagilia dawa kwenye mashamba ya kahawa maneno kibaooooooo!Wangenunua kuanzia F-15 au F-22 raptor au upgraded F-23 ndio ingekuwa habari ya mujini. Hizo ndege walizonunua ukienda TPC Moshi utazikuta zikinyunyizia sumu mashamba ya miwa
Mtaimba hadhiti zote, lakini ukweli uko pale pale, Kenya hasn't fought any major war and actually win it. You can acquire any number of aircrafts but the fact still remain that Kenya lucks experience of winning wars and nation building after the conflict.Your J-7 ni 2nd Generation war plan of 1940, not in service by even the producing nation! Only used by one poor European Nation!
The Kenyan Hawk is 4th Generation jet, you can't compare, go read about this things!!
Ingekuwa wewe ndo mtangaza vita ningesema msogee kampaka ketu ndo hapo mngejua kwanini mbuni ana uhaba wa manyoya makalioni.Watu wasita walishambulia Paris Ufaransa
Wakauwa watu 173
Wakaumiza watu 500
Na bado wakatoweka mpaka belgium
France iko in 12months state of emergency kama mnadhani Vita vilivyo kati ya kenya na alshabaab itakuwa sawiya kati ya Kenya na Tanzania endapo kuepuke vitu U will be in For the largest plot twist
Camp ziko wapi? Ama unazimiliki wewe? Unahabari penye ziko Kenya uje utoe habari kwa KDF?Mbona waganda wapo pale Migingo wanafanya yao, hata alshabab wapo na Camps Kenya.
Nyie kwenye medani za Vita bado mnavaa nepi.
Wazee wa vyuma Chakavu
Ni kweli mkuu wangekuja tuwape japo ka mig21 kamoja ingewafaa sana.Wakenya wamepiga deal la kifisadi, maana kwa akili ya kawaida huwezi ukanunua MAKOPO kama hayo eti yasaidie vita huko Somalia, it could be more better run for mig21XT
Hiki kihelcopter ndo cha kujigamba wakati kwetu huku tunatumia kama ambulance poleni sana,fungal safari njoo bongo tukakuoneshe apache tulipozificha wala hatujigambi.Na nani alikuambia Kenya tutatumia kama main Combat fighters?
Hujasikia hizo ni za light attack?
We have over 15 types of air-force machinery!!
Including the new Huey
we inakaa mtoto mdogo sana, haujamaliza shule, ushamba na aibu ndogo ndogo hapa ndo unaexpose..... haujui hata mahojiano unajurupukwa maneno tu.... mtu mshamba utamjua tu, unaongea ukidhani uko na point kumbe hamnazo...
lesson one- tafuta ndege zote duniani za kisasa zenye zimetengenezwa specifically for Counter-insurgency aircraft, alafu unionyeshe wapi utaona fighter jets
Mtaiba hadhiti zote, lakini ukweli uko pale pale, Kenya hasn't fought any major war and actually win it. You can acquire any number of aircrafts but the fact still remain that Kenya lucks experience of winning wars and nation building after the conflict.
Mapovu imepenya hiyo...Achana na **** huyo, mla maharage na mihogo kule kwao matopeni atajua kivipi maana ya COUNTER INSURGENCY?
Your J-7 ni 2nd Generation war plan of 1940, not in service by even the producing nation! Only used by one poor European Nation!
The Kenyan Hawk is 4th Generation jet, you can't compare, go read about this things!!