Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...

US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.

Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”

“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”

 
Iran keshajitoa kwenye huo mkataba na anaendelea na nyuklia program kama kawaida na yale mabomu ya marekani hayajaathiri chochote according to several reports incliding cnn,
Iran ni ngoma ngumu sana, zile misile precosion hadi mossad headquarters imewashtua sana mazayuni
 
Humu tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mpaka raha
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 40
Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...

US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.

Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”

“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”

Labda apige mitako yake!!
 
Trump bado anadhani dunia ya leo ni ya kupangiwa na Marekani.

Atazichimba mkwara shithole pekee sio wababe kama Iran.

Iran ameshajiondoa kwenye mazungumzo ya nyuklia kwa maana hiyo anaendelea na urutubishaji uliosalia kiduchu ili kukamilisha bomu la nyuklia.

Intelligence ya jeshi la Marekani imweka wazi kwamba shambulizi la Marekani kwenye vinu vya nyuklia halikufanikiwa.

Sana sana Iran watachelewa kwa miezi michache kukamilisha bomu la nyuklia.
 
Hii ni 2025!

Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.

China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.

Hata Pakistan inaweza pia.
Russia wamesema watampa Iran nuclear maneno yako ni kweli kabisa Iran anazo tayari Missiles za kubeba Nuclear warhead
 
Sikaha yake ya mwisho aliyoamini ingemaliza kuharibu vinu vya nyuklia imeshindwa sasa anataka kutumia nini tena kuizuia Iran?

Hakuna option tena zaidi ya Iran kuendelea na mpango wake wa nyuklia.
 
Trump aionya Iran na Israel inaionya Iran....wanaogopa nini kwani
 

Attachments

  • Screenshot_20250625-113504_1.jpg
    Screenshot_20250625-113504_1.jpg
    193.5 KB · Views: 36
Trump bado anadhani dunia ya leo ni ya kupangiwa na Marekani.

Atazichimba mkwara shithole pekee sio wababe kama Iran.

Iran ameshajiondoa kwenye mazungumzo ya nyuklia kwa maana hiyo anaendelea na urutubishaji uliosalia kiduchu ili kukamilisha bomu la nyuklia.

Intelligence ya jeshi la Marekani imweka wazi kwamba shambulizi la Marekani kwenye vinu vya nyuklia halikufanikiwa.

Sana sana Iran watachelewa kwa miezi michache kukamilisha bomu la nyuklia.
Kama ndege za Israel zinatamba kwenye anga la Iran na hakuna walichofanyiwa basi hapo Iran hamna jeshi Kuna mashoga yaliyovaa kombati
 
Back
Top Bottom