Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

There are UN charters that govern nuclear armaments and every country is signatory to such treaties so it's not easy for any country possessing nuclear armaments to trade them the way it deems fit. Nuclear armaments are not the articles up for sale.
Is Israel subject to any of those treaties?

And as if they’re going to tell you we bought them from so and so.

You people are so naive!
 
There are UN charters that govern nuclear armaments and every country is signatory to such treaties so it's not easy for any country possessing nuclear armaments to trade them the way it deems fit. Nuclear armaments are not the articles up for sale.
Vip kuhusu NK
 
Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...

US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.

Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”

“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”

Naona siku hizi unaongea kwa nidhamu 😂

Ile kauli yako ‘Iran wajaribu kurusha hata jiwe Tel Aviv waone” hahhaha imefia wapi?

Tel Aviv na Haifa kuna vifusi vya kumwaga na chuma chakavu.
 
Yale matetemeko ya ardhi huko Iran na Uturuki yalikuwa ni majaribia ya Nukes chini ya Ardhi.

Ni ngumu kumeza Ila kwa anaeelewa ataelewa
Kwa hiyo Iran aliisha tengeneza hayo Mabomu na kuyajaribu

Myahudi anayo 90 ila kama angekuwa mbabe hata angetishia kumtandika Iran kwa nuclear ☢️
Ila wanajua hata yeye anayo

Vita yao ni zaidi ya mambo ya Nuke bali wanataka mafuta ya Iran
Na Trump ni mroho sana
Yeye ni mzee wa madili
Kiongozi wa Iran hataki urafiki nae kabisa

Israel sidhani kama atafungua mdomo tena kuhusu Iran
Anaeongea sasa ni mbwa mwenyewe kaachiwa mfupa uliomshinda myahudi

Ukweli usemwe hata kama ni mchungu kwa Falashas
 
Huoni kichapo cha masaa machache india alichopewa hadi kaomba ceasefire kupitia trump?
Israel hatothubutu kuigana na iran maisha yake yote alichokipata ni siri yao na trump aliyewaombea ceasefire
Umemsikia trump alichoongea leo kwenye mkutano wa NATO kuhusu israel alivyochapika?
Nuclear program ya iran hakuna aliyeweza kuigusa na hakuna atakayeigusa ,amewazidi akili na wanalijua hilo ,pamoja na vikwazo kwa miaka mingi ila moto wake netanyahu hajawahi kukutana nao
Hahahaha na kweli Netanyahu alianzisha LION RISING ila sasa alichokutana nacho si mchezo saa hivi ameufyata hata hasikiki tena
 
Sikaha yake ya mwisho aliyoamini ingemaliza kuharibu vinu vya nyuklia imeshindwa sasa anataka kutumia nini tena kuizuia Iran?

Hakuna option tena zaidi ya Iran kuendelea na mpango wake wa nyuklia.
Kuna sehemu Iran imetangaza operation za Israel kufanikiwa?

Kubalini mmedumazwa full stop
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 16
Yale matetemeko ya ardhi huko Iran na Uturuki yalikuwa ni majaribia ya Nukes chini ya Ardhi.

Ni ngumu kumeza Ila kwa anaeelewa ataelewa
Kwa hiyo Iran aliisha tengeneza hayo Mabomu na kuyajaribu

Myahudi anayo 90 ila kama angekuwa mbabe hata angetishia kumtandika Iran kwa nuclear ☢️
Ila wanajua hata yeye anayo

Vita yao ni zaidi ya mambo ya Nuke bali wanataka mafuta ya Iran
Na Trump ni mroho sana
Yeye ni mzee wa madili
Kiongozi wa Iran hataki urafiki nae kabisa

Israel sidhani kama atafungua mdomo tena kuhusu Iran
Anaeongea sasa ni mbwa mwenyewe kaachiwa mfupa uliomshinda myahudi

Ukweli usemwe hata kama ni mchungu kwa Falashas
Yaan majasusi wa MOSSAD NA CIA washindwe kujua Iran ina silaha za nyuklia au hains be serious basi mbona mnatuchekesha?
 
Naona siku hizi unaongea kwa nidhamu 😂

Ile kauli yako ‘Iran wajaribu kurusha hata jiwe Tel Aviv waone” hahhaha imefia wapi?

Tel Aviv na Haifa kuna vifusi vya kumwaga na chuma chakavu.
Nimeona video punde huko threads jamaa kapiga akiwa kwenye gari,oya.. entire district ni chuma chakavu
 
Iran keshajitoa kwenye huo mkataba na anaendelea na nyuklia program kama kawaida na yale mabomu ya marekani hayajaathiri chochote according to several reports incliding cnn,
Iran ni ngoma ngumu sana, zile misile precosion hadi mossad headquarters imewashtua sana mazayuni
Well said mkuu,precision za missiles za Iran haziikuishtua Israel peke yake hata Merikani yenyewe hasa missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa expensive American air defense systems walizopewa wa Israel kutoka Merikani, hazikufua dafu kwa missiles za Ayatollah.
 
Nina uhakika licha ya uzee,ila ayatollah huko kwenye bunker aliunga goli tatu kwa namna mishale yake ilivyopafomu
 
Ndege za Israel zilitawala anga la Iran,je makombora ya Iran kwenye ardhi ya Israel (Tel Aviv na Haifa)hayakutawala?wote Iran na Israel wamejivua nguo hadi US na hizo POPO zake
 
Hii ni 2025!

Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.

China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.

Hata Pakistan inaweza pia.
Watakuwa wamekiuka mikataba ya kimataifa alafu china hawana huo mpango wa kijinga wa kuingia vitani yeye anaangalia biashara Tu ziende, Russia sio wajinga Hadi wajiingize kwenye migogoro na kila nchi kumbuka Iran ikimiliki silaha za nuclear hapo middle east hakutakuwa salama.... Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Kuwait na falme za kiarabu Wanafanya biashara na Russia na china
 
Trump bado anadhani dunia ya leo ni ya kupangiwa na Marekani.

Atazichimba mkwara shithole pekee sio wababe kama Iran.

Iran ameshajiondoa kwenye mazungumzo ya nyuklia kwa maana hiyo anaendelea na urutubishaji uliosalia kiduchu ili kukamilisha bomu la nyuklia.

Intelligence ya jeshi la Marekani imweka wazi kwamba shambulizi la Marekani kwenye vinu vya nyuklia halikufanikiwa.

Sana sana Iran watachelewa kwa miezi michache kukamilisha bomu la nyuklia.

Iran nchi maskini hohe hahe hiyo ina ubabe gani? Wananchi wake ni maskini kupindukia.

Over 32 million Iranians—more than one-third of the population—were living below the poverty line by March 2022 and are now grappling with food insecurity, according to a report by the Iran Chamber of Commerce Research Center.18 Nov 2024.

Why is there so much poverty in Iran?

The country is also enduring mass inflation, leading to the prices of basic necessities like food skyrocketing and has in turn reduced the purchasing power of low and middle-income Iranians. While sanctions play a major role in exacerbating poverty in Iran, the actions of the government play an equally large role.26 Sept 2024.
 
Back
Top Bottom