Kwamba yanauzwa kama pipi sio wabongo bhana hapo unajiona umechambua 🤣🤣🤣🤣🤣Hii ni 2025!
Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.
China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.
Hata Pakistan inaweza pia.
Kwani amesema yanauzwa kama soma between the line uelewe hata dhamiraKwamba yanauzwa kama pipi sio wabongo bhana🤣🤣🤣🤣
Labda apige mitako yake!!Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...
US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.
Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”
“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”
Kumbe yanaokotwa kama maembe🤣🤣🤣🤣🤣Kwani amesema yanauzwa kama soma between the line uelewe hata dhamira
Umeelewa nini kuhusu nchi alizo tajaKumbe yanaokotwa kama maembe🤣🤣🤣🤣🤣
Russia wamesema watampa Iran nuclear maneno yako ni kweli kabisa Iran anazo tayari Missiles za kubeba Nuclear warheadHii ni 2025!
Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.
China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.
Hata Pakistan inaweza pia.
Kama ndege za Israel zinatamba kwenye anga la Iran na hakuna walichofanyiwa basi hapo Iran hamna jeshi Kuna mashoga yaliyovaa kombatiTrump bado anadhani dunia ya leo ni ya kupangiwa na Marekani.
Atazichimba mkwara shithole pekee sio wababe kama Iran.
Iran ameshajiondoa kwenye mazungumzo ya nyuklia kwa maana hiyo anaendelea na urutubishaji uliosalia kiduchu ili kukamilisha bomu la nyuklia.
Intelligence ya jeshi la Marekani imweka wazi kwamba shambulizi la Marekani kwenye vinu vya nyuklia halikufanikiwa.
Sana sana Iran watachelewa kwa miezi michache kukamilisha bomu la nyuklia.
Hiyo ni tafsiri yako kwa kadri ya uelewa wako.Kwamba yanauzwa kama pipi sio wabongo bhana🤣🤣🤣🤣
Endelea kuota 🤣🤣🤣🤣Hiyo ni tafsiri yako kwa kadri ya uelewa wako.
Si kila kiuzwacho kinalingana na pipi.
Marekani ikiuza ndege za F 35, wanakuwa wanaziuza kama pipi?