Trump asema Iran ikithubutu kuamsha tena mambo ya nyuklia, ataipiga tena

Huwa najiuliza, ikiwa Iran ikishatengeneza hilo bomu, itaendelea kupigwa au itaogopwa?
 
Hakuna tena kuruhusu hao watu.

Mbona huko Israel huwa hawaendi kukagua?
 
Kama ndege za Israel zinatamba kwenye anga la Iran na hakuna walichofanyiwa basi hapo Iran hamna jeshi Kuna mashoga yaliyovaa kombati
Baada ya hizo ndege kutamba wameambulia nini?

Hakuna hata lengo moja walilotimiza kati ya malengo matatu.

Lengo la kwanza kuharibu kabisa nuclear facilities, pili kuuondoa utawala wa Ayatollah na mwisho kuondoa kabisa uwezo wa Iran kurusha ballistic missiles.

Kati ya hayo hata moja hawakufikia nusu lengo

Iran hadi kifikia makubaliano ya ceasefire aliivurumishia mvua ya makombora Israel na kuharibu kabisa target kitu ambacho kimewafanya Marekani kulilia ceasefire.

Bado unataka kuambiwa na Mazayuni ndiyo uamini?
 
Attachments

  • Screenshot_20250625_071427_Facebook.jpg
    329.7 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250625_071402_Facebook.jpg
    508.2 KB · Views: 22
Endelea kuota
 
Endelea kuota
Na ushahidi kutoka vyanzo vya kuaminika hutaki tena?

Wewe utakuwa Muha ubishi asili yako.

Jisomee hapo usiishie kusoma paragraph ya juu pekee.
 
Attachments

  • Screenshot_20250625_071427_Facebook.jpg
    329.7 KB · Views: 18
  • Screenshot_20250625_071402_Facebook.jpg
    508.2 KB · Views: 18
Ni aibu kubwa imeikumba Israel na Marekani.
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-084018.jpg
    388.1 KB · Views: 15
  • Screenshot_20250625-084041.jpg
    386.2 KB · Views: 20

Alipigwa akiwa kwenye hiyo program, maana kwamba haijalishi popote atakapokua, akiamsha tu anapigwa tena, akae kwa kutulia, limebaki taifa moja la makobaz lenye nyuklia, Pakistan, na lenyewe likianza hizo pumba litapigwa.
 
Humu tu na taratibu zinaendelea
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 17
Hii ni 2025!

Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.

China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.

Hata Pakistan inaweza pia.

Na hapo unalichukua na kulitunzia panapigwa linalipukia humo, kimsingi Iran kuachiwa amiliki hicho kitu ni kiama kwa hako kataifa ka Israel, hivyo hufuatiliwa kwenye kila hatua.
 
Alipigwa akiwa kwenye hiyo program, maana kwamba haijalishi popote atakapokua, akiamsha tu anapigwa tena, akae kwa kutulia, limebaki taifa moja la makobaz lenye nyuklia, Pakistan, na lenyewe likianza hizo pumba litapigwa.
Huoni kichapo cha masaa machache india alichopewa hadi kaomba ceasefire kupitia trump?
Israel hatothubutu kuigana na iran maisha yake yote alichokipata ni siri yao na trump aliyewaombea ceasefire
Umemsikia trump alichoongea leo kwenye mkutano wa NATO kuhusu israel alivyochapika?
Nuclear program ya iran hakuna aliyeweza kuigusa na hakuna atakayeigusa ,amewazidi akili na wanalijua hilo ,pamoja na vikwazo kwa miaka mingi ila moto wake netanyahu hajawahi kukutana nao
 
Na hapo unalichukua na kulitunzia panapigwa linalipukia humo, kimsingi Iran kuachiwa amiliki hicho kitu ni kiama kwa hako kataifa ka Israel, hivyo hufuatiliwa kwenye kila hatua.
Ukishakuwa nalo dynamics zinabadilika kabisa!

Huwezi kulilipua bomu la nyuklia halafu eti lilipukie humo humo tu.

Ingekuwa ni rahisi hivyo basi hata yale ya North Korea, Pakistan, au India, yangekuwa yameshalipuliwa.

Kwenye silaha za nyuklia kuna mutually assured destruction.

Kwa akili yako kabisa unadhani Iran inaweza kuipiga Israel kwa mabomu ya nyuklia halafu Israel na yenyewe isijibu in kind?

Acheni kujitoa fahamu kiasi hicho.

Iran akitumia nyuklia dhidi ya Israel na Israel atatumia nyuklia dhidi ya Iran.

Sasa hapo Iran atakuwa ame accomplish nini?

You destroy us, we destroy you = mutually assured destruction.

Au yeye Iran hajipendi kabisa na yuko radhi kufutika kwenye uso wa dunia kisa Israel?

Come on now.

Pakistan na India zinachukiana pasipo maelezo lakini hakuna kati yao atayethubutu kutumia nyuklia zake kwa mwenzake kwa sababu kufanya hivyo kutafanya wote wazitumia na wote wataangamia.

Hoja ya kwamba Iran akiwa nazo hizo silaha basi itakuwa kiama kwa Israel haina mashiko.

Au unataka kusema Iran haidhuriki na hizo silaha za nyuklia?
 
Iran haijasambaratika.
Si jambo jepesi.

Wala Iran kwa itikadi yao hawataacha kuendeleza nuclear kwa matumizi ya amani.
 
Hii ni 2025!

Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.

China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.

Hata Pakistan inaweza pia.
There are UN charters that govern nuclear armaments and every country is signatory to such treaties so it's not easy for any country possessing nuclear armaments to trade them the way it deems fit. Nuclear armaments are not the articles up for sale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…