Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Is Israel subject to any of those treaties?There are UN charters that govern nuclear armaments and every country is signatory to such treaties so it's not easy for any country possessing nuclear armaments to trade them the way it deems fit. Nuclear armaments are not the articles up for sale.
Vip kuhusu NKThere are UN charters that govern nuclear armaments and every country is signatory to such treaties so it's not easy for any country possessing nuclear armaments to trade them the way it deems fit. Nuclear armaments are not the articles up for sale.
Naona siku hizi unaongea kwa nidhamu ๐Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...
US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.
Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, โSure.โ
โThe last thing they want to do is enrich anything right now,โ says Trump. โThey want to recover.โ
What about Israel?Vip kuhusu NK
Hahahaha na kweli Netanyahu alianzisha LION RISING ila sasa alichokutana nacho si mchezo saa hivi ameufyata hata hasikiki tenaHuoni kichapo cha masaa machache india alichopewa hadi kaomba ceasefire kupitia trump?
Israel hatothubutu kuigana na iran maisha yake yote alichokipata ni siri yao na trump aliyewaombea ceasefire
Umemsikia trump alichoongea leo kwenye mkutano wa NATO kuhusu israel alivyochapika?
Nuclear program ya iran hakuna aliyeweza kuigusa na hakuna atakayeigusa ,amewazidi akili na wanalijua hilo ,pamoja na vikwazo kwa miaka mingi ila moto wake netanyahu hajawahi kukutana nao
Kuna sehemu Iran imetangaza operation za Israel kufanikiwa?Sikaha yake ya mwisho aliyoamini ingemaliza kuharibu vinu vya nyuklia imeshindwa sasa anataka kutumia nini tena kuizuia Iran?
Hakuna option tena zaidi ya Iran kuendelea na mpango wake wa nyuklia.
Bishana na wataalam sasaKuna sehemu Iran imetangaza operation za Israel kufanikiwa?
Kubalini mmedumazwa full stop
Yaan majasusi wa MOSSAD NA CIA washindwe kujua Iran ina silaha za nyuklia au hains be serious basi mbona mnatuchekesha?Yale matetemeko ya ardhi huko Iran na Uturuki yalikuwa ni majaribia ya Nukes chini ya Ardhi.
Ni ngumu kumeza Ila kwa anaeelewa ataelewa
Kwa hiyo Iran aliisha tengeneza hayo Mabomu na kuyajaribu
Myahudi anayo 90 ila kama angekuwa mbabe hata angetishia kumtandika Iran kwa nuclear โข๏ธ
Ila wanajua hata yeye anayo
Vita yao ni zaidi ya mambo ya Nuke bali wanataka mafuta ya Iran
Na Trump ni mroho sana
Yeye ni mzee wa madili
Kiongozi wa Iran hataki urafiki nae kabisa
Israel sidhani kama atafungua mdomo tena kuhusu Iran
Anaeongea sasa ni mbwa mwenyewe kaachiwa mfupa uliomshinda myahudi
Ukweli usemwe hata kama ni mchungu kwa Falashas
Humu tu๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐Yaan majasusi wa MOSSAD NA CAI washindwe kujua Iran ina silaha za nyuklia au hains be serious basi mbona mnatuchekesha?
Nimeona video punde huko threads jamaa kapiga akiwa kwenye gari,oya.. entire district ni chuma chakavuNaona siku hizi unaongea kwa nidhamu ๐
Ile kauli yako โIran wajaribu kurusha hata jiwe Tel Aviv waoneโ hahhaha imefia wapi?
Tel Aviv na Haifa kuna vifusi vya kumwaga na chuma chakavu.
Lion kakutana na mkuki wa sumu wa moraniHahahaha na kweli Netanyahu alianzisha LION RISING ila sasa alichokutana nacho si mchezo saa hivi ameufyata hata hasikiki tena
Kama siraha nyingine zinauzwa kwanini hayo mabomu yasiuzwe?Kumbe yanaokotwa kama maembe๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Well said mkuu,precision za missiles za Iran haziikuishtua Israel peke yake hata Merikani yenyewe hasa missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa expensive American air defense systems walizopewa wa Israel kutoka Merikani, hazikufua dafu kwa missiles za Ayatollah.Iran keshajitoa kwenye huo mkataba na anaendelea na nyuklia program kama kawaida na yale mabomu ya marekani hayajaathiri chochote according to several reports incliding cnn,
Iran ni ngoma ngumu sana, zile misile precosion hadi mossad headquarters imewashtua sana mazayuni
Nina uhakika licha ya uzee,ila ayatollah huko kwenye bunker aliunga goli tatu kwa namna mishale yake ilivyopafomuWell said mkuu,precision za missiles za Iran haziikuishtua Israel peke yake hata Merikani yenyewe hasa missiles za Iran zilivyo kuwa zinakwepa expensive American air defense systems walizopewa wa Israel kutoka Merikani, hazikufua dafu kwa missiles za Ayatollah.
Maneno ya kujimwambafy tu, hawawezi kufanya kitu kama hicho.Itafuta Israel kwenye ramani ya dunia...
Watakuwa wamekiuka mikataba ya kimataifa alafu china hawana huo mpango wa kijinga wa kuingia vitani yeye anaangalia biashara Tu ziende, Russia sio wajinga Hadi wajiingize kwenye migogoro na kila nchi kumbuka Iran ikimiliki silaha za nuclear hapo middle east hakutakuwa salama.... Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Kuwait na falme za kiarabu Wanafanya biashara na Russia na chinaHii ni 2025!
Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.
China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.
Hata Pakistan inaweza pia.
Trump bado anadhani dunia ya leo ni ya kupangiwa na Marekani.
Atazichimba mkwara shithole pekee sio wababe kama Iran.
Iran ameshajiondoa kwenye mazungumzo ya nyuklia kwa maana hiyo anaendelea na urutubishaji uliosalia kiduchu ili kukamilisha bomu la nyuklia.
Intelligence ya jeshi la Marekani imweka wazi kwamba shambulizi la Marekani kwenye vinu vya nyuklia halikufanikiwa.
Sana sana Iran watachelewa kwa miezi michache kukamilisha bomu la nyuklia.