Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Nani amuombe na wakati washa ahidi wanaendelea Dw wana sema hiviHaka kapicha uliokoteza wapi naona hautaki kuchangia hoja unapachika kapicha Umepewa huko msikitini, muambieni Iran ajaribu kuamsha tena hayo mambo ya nyuklia.
Hauna hoja ngoja tuendelee kula mtoriHaka kapicha uliokoteza wapi naona hautaki kuchangia hoja unapachika kapicha Umepewa huko msikitini, muambieni Iran ajaribu kuamsha tena hayo mambo ya nyuklia.
Israel never imported its nuclear arsenal but it's the home built.Is Israel subject to any of those treaties?
And as if they’re going to tell you we bought them from so and so.
You people are so naive!
Ni majaribio mengine ila ya nuclear wanakanusha na kusema hajawahi kutumiaYaan majasusi wa MOSSAD NA CIA washindwe kujua Iran ina silaha za nyuklia au hains be serious basi mbona mnatuchekesha?
Nyang'au reference yako ni jarida la Times of Israel 😂Kwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...
US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.
Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”
“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”
Kilichomkuta ni lion lyingHahahaha na kweli Netanyahu alianzisha LION RISING ila sasa alichokutana nacho si mchezo saa hivi ameufyata hata hasikiki tena
Ukishakuwa nalo dynamics zinabadilika kabisa!
Huwezi kulilipua bomu la nyuklia halafu halafu eti lilipukie humo humo tu.
Ingekuwa ni rahisi hivyo basi hata yale ya North Korea, Pakistan, au India, yangekuwa yameshalipuliwa.
Kwenye silaha za nyuklia kuna mutually assured destruction.
Kwa akili yako kabisa unadhani Iran inaweza kuipiga Israel kwa mabomu ya nyuklia halafu Israel na yenyewe isijibu in kind?
Acheni kujitoa fahamu kiasi hicho.
Iran akitumia nyuklia dhidi ya Israel na Israel atatumia nyuklia dhidi ya Iran.
Sasa hapo Iran atakuwa ame accomplish nini?
You destroy us, we destroy you = mutually assured destruction.
Au yeye Iran hajipendi kabisa na yuko radhi kufutika kwenye uso wa dunia kisa Israel?
Come on now.
Pakistan na India zinachukiana pasipo maelezo lakini hakuna kati yao atayethubutu kutumia nyuklia zake kwa mwenzake kwa sababu kufanya hivyo kutafanya wote wazitumia na wote wataangamia.
Hoja ya kwamba Iran akiwa nazo hizo silaha basi itakuwa kiama kwa Israel haina mashiko.
Au unataka kusema Iran haidhuriki na hizo silaha za nyuklia?
Mtu yeyote anayeongozwa na mihemko na chuki za kidini huwa hana mantiki kabisa hivyo akitaka kushambulia kwa nyuklia atafanya tu, angalia hata juzi kwa namna Iran ilivyokua inashambulia kwenda Israel, ilikua haijalishi mabomu yanalenga wapi, isingekua kwa mifumo ya kiulinzi ya Israel ama kwa hakika hayo madude yangefuta hako kainchi.
Pakistan na India lichaa ya udini ila kidogo wana kaundugu, wakishtuana wao huzingatia umakini....
Tafuta haka kainchi kanakosababisha watu watokwe mipovu na mikanzu yao, katafute kwenye hii ramani, hiyo MAD doctrine haiwezi kusaidia hapa, yaani warhead moja tu ya nyuklia inakafutia mbali hata muda wa kujibu hautapatikana.
MAD ipo kwa mataifa makubwa kama Urusi na Marekani, pale kabla projectile ifike kwenye nchi moja, wao watakua wamepata fursa ya ku-counter launch ya kwao pia zipishane, tufe na nyie mfe.....pia taifa kubwa kama Marekani labda ulipige mfululizo wa manyuklia mengi ndio uwalemaze, lakini ukipiga jimbo moja, wao wana majimbo mengine mengi yatajibu huko, maana manyuklia yao hayapo kwenye jimbo moja.
Sasa Israel kainchi kadogo hata kuliko jimbo la Arusha, bomu moja ya nyuklia ikishatua tu ndio basi wamefutika.
Namna wagaidi wa uislamu akina HAMAS hushambulia Israel, hudhihirisha jinsi wanataka kufuta hako kainchi, wao hufanya scorch earth attacks, haka kainchi kanaishi tu kwa neema za Mungu.
View attachment 3382759
Sorry ilikuwa ni Implosion test ya bila uraniumYaan majasusi wa MOSSAD NA CIA washindwe kujua Iran ina silaha za nyuklia au hains be serious basi mbona mnatuchekesha?
Israel kuishambulia Iran ilikiuka sheria za kimataifa.Watakuwa wamekiuka mikataba ya kimataifa alafu china hawana huo mpango wa kijinga wa kuingia vitani yeye anaangalia biashara Tu ziende, Russia sio wajinga Hadi wajiingize kwenye migogoro na kila nchi kumbuka Iran ikimiliki silaha za nuclear hapo middle east hakutakuwa salama.... Saud Arabia, Qatar, Bahrain, Kuwait na falme za kiarabu Wanafanya biashara na Russia na china
Who gave them the permission to build them?Israel never imported its nuclear arsenal but it's the home built.
Ah wapi!Mtu yeyote anayeongozwa na mihemko na chuki za kidini huwa hana mantiki kabisa hivyo akitaka kushambulia kwa nyuklia atafanya tu, angalia hata juzi kwa namna Iran ilivyokua inashambulia kwenda Israel, ilikua haijalishi mabomu yanalenga wapi, isingekua kwa mifumo ya kiulinzi ya Israel ama kwa hakika hayo madude yangefuta hako kainchi.
Pakistan na India lichaa ya udini ila kidogo wana kaundugu, wakishtuana wao huzingatia umakini....
Tafuta haka kainchi kanakosababisha watu watokwe mipovu na mikanzu yao, katafute kwenye hii ramani, hiyo MAD doctrine haiwezi kusaidia hapa, yaani warhead moja tu ya nyuklia inakafutia mbali hata muda wa kujibu hautapatikana.
MAD ipo kwa mataifa makubwa kama Urusi na Marekani, pale kabla projectile ifike kwenye nchi moja, wao watakua wamepata fursa ya ku-counter launch ya kwao pia zipishane, tufe na nyie mfe.....pia taifa kubwa kama Marekani labda ulipige mfululizo wa manyuklia mengi ndio uwalemaze, lakini ukipiga jimbo moja, wao wana majimbo mengine mengi yatajibu huko, maana manyuklia yao hayapo kwenye jimbo moja.
Sasa Israel kainchi kadogo hata kuliko jimbo la Arusha, bomu moja ya nyuklia ikishatua tu ndio basi wamefutika.
Namna wagaidi wa uislamu akina HAMAS hushambulia Israel, hudhihirisha jinsi wanataka kufuta hako kainchi, wao hufanya scorch earth attacks, haka kainchi kanaishi tu kwa neema za Mungu.
View attachment 3382759
In an environment where other nations want to wipe Israel off the world map, why shouldn't Israel have the nuclear weapons to protect itself from those enemies..!!?Who gave them the permission to build them?
Who gave them the permission to build them?In an environment where other nations want to wipe Israel off the world map, why shouldn't Israel have the nuclear weapons to protect itself from those enemies..!!?
Trump aache propaganda za wogaKwamba Iran ikae kwa kutulia Sasa, iache hayo mawazo maana imesambaratishwa kwa moto...
US President Donald Trump says he will strike Iran again if it tries to restart its nuclear enrichment program.
Asked by a reporter if the US would carry out more attacks if Tehran rebuilds its uranium enrichment facilities, Trump says, “Sure.”
“The last thing they want to do is enrich anything right now,” says Trump. “They want to recover.”
Iran alishajipanga na hawa mazayuni miaka mingi sana anajua nguvu na udhaifu wao ,alikuwa hatua mbele kwa kila walichojaribu, kwanza ameweza kuonyesha ulimwengu kuwa iron dome na zile taka taka nyingine siyo kitu mbele ya iran, na anaweza kupiga popote kwa precision ya hali ya juu kitu ambacho hata wazayuni walibaki mdomo wazi wakaomba yaishe ama sivyo tel aviv ingekuwa kama gazaSikaha yake ya mwisho aliyoamini ingemaliza kuharibu vinu vya nyuklia imeshindwa sasa anataka kutumia nini tena kuizuia Iran?
Hakuna option tena zaidi ya Iran kuendelea na mpango wake wa nyuklia.
Kwani mfumo wa Ulizi wa anga ulifanya nini? Mbona roketi za Iran zilikuwa zinajipenyeza kwa kukwepa air defense systems za Israel walizo nunua/pewa na Merikani lakini zikashindwa kuona ndani, hata juzi Trump alikiri kwamba roketi za Iran si mchezo ziliwapa kipigo kitakatifu Waisrael, sasa kama raisi wa Taifa kubwa anakubali ukweli huo,je, wewe ni nani kutuletea hapa maneno yanayo andikwa kwenye KANGA??Mtu yeyote anayeongozwa na mihemko na chuki za kidini huwa hana mantiki kabisa hivyo akitaka kushambulia kwa nyuklia atafanya tu, angalia hata juzi kwa namna Iran ilivyokua inashambulia kwenda Israel, ilikua haijalishi mabomu yanalenga wapi, isingekua kwa mifumo ya kiulinzi ya Israel ama kwa hakika hayo madude yangefuta hako kainchi.
Pakistan na India lichaa ya udini ila kidogo wana kaundugu, wakishtuana wao huzingatia umakini....
Tafuta haka kainchi kanakosababisha watu watokwe mipovu na mikanzu yao, katafute kwenye hii ramani, hiyo MAD doctrine haiwezi kusaidia hapa, yaani warhead moja tu ya nyuklia inakafutia mbali hata muda wa kujibu hautapatikana.
MAD ipo kwa mataifa makubwa kama Urusi na Marekani, pale kabla projectile ifike kwenye nchi moja, wao watakua wamepata fursa ya ku-counter launch ya kwao pia zipishane, tufe na nyie mfe.....pia taifa kubwa kama Marekani labda ulipige mfululizo wa manyuklia mengi ndio uwalemaze, lakini ukipiga jimbo moja, wao wana majimbo mengine mengi yatajibu huko, maana manyuklia yao hayapo kwenye jimbo moja.
Sasa Israel kainchi kadogo hata kuliko jimbo la Arusha, bomu moja ya nyuklia ikishatua tu ndio basi wamefutika.
Namna wagaidi wa uislamu akina HAMAS hushambulia Israel, hudhihirisha jinsi wanataka kufuta hako kainchi, wao hufanya scorch earth attacks, haka kainchi kanaishi tu kwa neema za Mungu.
View attachment 3382759
We una akili sana ishu sio kumiliki bomu la Nyukilia ila Kuna kitu kipo nyuma ya paziaHii ni 2025!
Sidhani ili kuwa na bomu la nyuklia ni lazima ulitengeneze wewe.
China, Russia, na North Korea wanaweza kumuuzia Iran hizo silaha.
Hata Pakistan inaweza pia.