Trump asema waliokua wanashupaza shingo wameuawa, Israel inaandaa kushambulia tena

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,575
Reaction score
53,613
Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.

Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================

The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.

"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.

"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
 
Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
 
Usichokijua Israel walishinda vita vingi sana hata kabla ujio wa uislamu, mohamad na Allah, kuna miungu akina Baal wa Wafilisti alijaribu kuwafuta Wayahudi akashindwa, nyie mumebuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, unadhani mna nini jipya.
 
Quran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi

Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
 
Kabla muarabu hajaandika quran, Wayahudi walishinda vita dhidi ya miungu ya awali, muarabu kaja kuandika andika juzi na kusababisha mgombane na kila mtu duniani.
 
Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.

Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================

The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.

"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.

"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
Duh!, hii akili ina kasoro mahali. Kwa kifupi huna faida hapa ulimwenguni, unamaliza oksijeni tu.
 
Hovyo,wanaunganaje na ni juzi tu wametoka kuwekwa sawa na kubwa lao Trump,au Unadhani ile ziara ilikuwa ya kutengeneza filamu! Pole sana
Sasa pole kwangu ya nini ? Acha uhadija kopa bwashe
 
Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
Kinyonge sana😂😂
 
Kabla muarabu hajaandika quran, Wayahudi walishinda vita dhidi ya miungu ya awali, muarabu kaja kuandika andika juzi na kusababisha mgombane na kila mtu duniani.
Halafu wakatawaliwa na Syria, Roma,uturuki na waarabu
 
Cha kufanya, israeli ina haki ya kujilida dhidi ya vitisho vyote toka kwa waarabu na ndugu zao. Ihakikishe maayatollaha wanafurushwa iran iwe na utawala mpya usi na itikadi kali za kidini walau raia wapumue toka utawala huo wa kiimla
 
Usichokijua Israel walishinda vita vingi sana hata kabla ujio wa uislamu, mohamad na Allah, kuna miungu akina Baal wa Wafilisti alijaribu kuwafuta Wayahudi akashindwa, nyie mumebuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, unadhani mna nini jipya.
Weeh mgalatia hebu punguza porojo mbn vita ya ushoga inamshinda mpk baraza lake la mawaziri lina mashoga...?
Na isitoshe taja ivo vita alivyopigana mtume na wayahudi vita ipi hiyo?
 
Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
Hapo wamekutana ndugu yangu Mshia na mzayuni...
MZAYUNI...anaijua Quran nje ndani kwhy kazi yake kuja na maandiko ya upotofu akishirikiana na Mshia..na mabohora
MSHIA..kama unavyojua anakiuka mafundisho na sunna nyingi za mtume Muhammad Swalla Allaahu alla allahyi wasaalam...ivoo hapo wamekutana pipa na mfuniko waache watifuane
 
Back
Top Bottom