Trump asema waliokua wanashupaza shingo wameuawa, Israel inaandaa kushambulia tena

Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.

Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================

The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.

"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.

"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
MK254...daily nakwambia ubongo wako kama wa nyumbu hujui chcht kuhusu mashariki ya kati zaidi ya kujua Yesu ni mungu aliyezaliwa na bikira mariam...na ndugu zake ni waisraeli basi...
Ila hujui political and religious wala itikadi za watu wa mashariki ya kati..na nina kwmbia hakuna bomu la muajemi litakalo vuka kwnd Israel...zaidi muirani atabaki kujitapa tuu
Kwa nini hatofanikiwa wala hujui zaidi ulichokalia hapo Yesu ni muisrael...weeh mgalatia hakuna kizazi cha mitume karne hii wala nasaba wao si wanavifaa vya kisayansi na taifa teule basi wapine DNA watafute kizazi cha Yakobo na Yesu kama kweli wao wateule
 
Quran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi

Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
muislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutenga
 
Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
sasa kwanini muungane wote sababu ya kataifa kadogo sawa na wilaya skonge ina maana Israel ina nguvu sana mpaka muungane waislamu wote
 
US ina nguvu karibu kuliko mataifa yote duniani , hao wazayudi wao ni ushoga tu hakuna kitu
 
muislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutenga
Vita mnaweza nyie? Hii vita inaezagongwa miaka zaidi ya 10 na mabomu yataundwa tuu
 
Kinyonge sana😂😂
Ndio kinyonge! Nakumbusha TU vita huishindi Kwa siku Moja na kelele za mtandaoni hao Hamas miezi 20 sasas Bado wapo hivyo hao mazayuni ni suala LA muda. Hakuna vita isokua na loss
 
Hili ni show la kibabe wallah! Shikamoo Myahudi. 😛

🇬🇧🇩🇪🇨🇵🇮🇱⚡🇮🇷 British prime minister says the countries of UK, France & Germany stand with Israel.

Ongezea na UN, Europe,Asia na America wote shikamooo
 
MK254...daily nakwambia ubongo wako kama wa nyumbu hujui chcht kuhusu mashariki ya kati zaidi ya kujua Yesu ni mungu aliyezaliwa na bikira mariam...na ndugu zake ni waisraeli basi...
Ila hujui political and religious wala itikadi za watu wa mashariki ya kati..na nina kwmbia hakuna bomu la muajemi litakalo vuka kwnd Israel...zaidi muirani atabaki kujitapa tuu
Kwa nini hatofanikiwa wala hujui zaidi ulichokalia hapo Yesu ni muisrael...weeh mgalatia hakuna kizazi cha mitume karne hii wala nasaba wao si wanavifaa vya kisayansi na taifa teule basi wapine DNA watafute kizazi cha Yakobo na Yesu kama kweli wao wateule

Mimi nachokijua kipo kwenye vitabu vya historia, kabla mtume wenu hajaja na kuandika andika kitabu chake kuhusu allah wake, alikuta dini za watu, alikua Myahudi ameshinda vita vingi dhidi ya miungu ya awali, sasa huyo muarabu wenu kaja na sounds za chuki dhidi ya Wayahudi, amesababisha kutwa mnapigwa pigwa hovyo tu maana kila mkianzisha huwa mnaishia kujambishwa.
 
"they have to make a deal very quick..or there will be more deaths, more bombs, more destruction"
 
Quran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi

Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
Surrender or no surrender,Nuclear msahau, mengine au sijui uislam wa kweli mtamalizana wenyewe
 
Mimi nachokijua kipo kwenye vitabu vya historia, kabla mtume wenu hajaja na kuandika andika kitabu chake kuhusu allah wake, alikuta dini za watu, alikua Myahudi ameshinda vita vingi dhidi ya miungu ya awali, sasa huyo muarabu wenu kaja na sounds za chuki dhidi ya Wayahudi, amesababisha kutwa mnapigwa pigwa hovyo tu maana kila mkianzisha huwa mnaishia kujambishwa.
Wapi alipisema uislam adui yake mkubwa myahudi hivi wewe unajielewa kweli na unachoandika unakisoma eti mimi ninachojua kipo kwny vitabu vya kihistoria ipi hiyo?
Au hstoria uliyosoma ilisema pia wayahudi walikua na viongozi mashoga kwny mahekalu yao?..taifa teule la mungu ambalo limeruhusu ushoga kwa nini hilo usihoji...unahoji uwepo wa uislam?..ambao wewe umeukuta na utauacha au imani inalazimishwa?....kwani unacho elimisha ni nini?..mbn wewe umeamini mungu wako Yesu alizaliwa na binadamu na bado unaamini lkn Mtume Muhammad swallah allahu alla allahy wasaalam kutangaza uislam unapinga?..umelazimishwa uamini?
Jikite hapo political religion and ideology za mashariki ya kati kulikoni kujikologa na vitabu vyako...nakuelewesha tena hakuna bomu la muiran litakaloenda Israel kamwe
 
Mayahudi na mashia ni ndugu hao wanajua wenyewe wanachokifanya
 
Surrender or no surrender,Nuclear msahau, mengine au sijui uislam wa kweli mtamalizana wenyewe

Wewe Kama nani kumsahaulisha nuclear muajemi?
☑️ | The launches are not coming directly from Israel they are originating across the bordering countries. And these countries have allowed it to happen. We must focus on the involvement of Azerbaijan, Turkey, and Central Asian states in facilitating or enabling these attacks.

🔹@enemywatch
 
Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.

Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================

The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.

"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.

"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
Leo ninafursha Kila atakayenisogelea namwaga bia yaaa Israel wamenokosha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom