Trump asema waliokua wanashupaza shingo wameuawa, Israel inaandaa kushambulia tena

Trump asema waliokua wanashupaza shingo wameuawa, Israel inaandaa kushambulia tena

Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
Hapo Middle East Israel anaweza pigana na nchi hata Tano kwa wakati mmoja.
 
Kuna yule kenge wa Kigoma mbembe zitto kabwe alikuja juu baada ya kuona bendera ya Israel kwenye kanisa la Gwajiboy eti inakuwaje bendera ya wauwaji iko kanisani. Watanzania wanatekwa na kuuawa halaani hata kidogo kisa nusu mkate.Wewe zitto kama unawapenda wapalestina chukua silaha kawasaidie kupigane dhidi ya waisrael wakufumue
 
Wewe Kama nani kumsahaulisha nuclear muajemi?
☑️ | The launches are not coming directly from Israel they are originating across the bordering countries. And these countries have allowed it to happen. We must focus on the involvement of Azerbaijan, Turkey, and Central Asian states in facilitating or enabling these attacks.

🔹@enemywatch
Vinu vyote myahudi kavigeuza mchanga, sasa mnatafuta ugomvi na Azerbaijan na Turkey 😂😂😂, ule wimbo wenu wa death to Israel nashauri muuache sasa
 
Ayatollaah hofu kuu imemjaa tumbo limejaa gesi na linanguruma kama kala mayai + maharage mabichi + karanga mbichi
 
Ayatollaah hofu kuu imemjaa tumbo limejaa gesi na linanguruma kama kala mayai + maharage mabichi + karanga mbichi
Mwana mapinduzi yule hana shida sadam aliua washia mamilioni lakini mapinduzi yalidumu Kwa miaka nane, vita sio sprinting ni marathon kijana
 
Vinu vyote myahudi kavigeuza mchanga, sasa mnatafuta ugomvi na Azerbaijan na Turkey 😂😂😂, ule wimbo wenu wa death to Israel nashauri muuache sasa
Kasha kata ticket hapo middle east hapatatulia
 
Mwana mapinduzi yule hana shida sadam aliua washia mamilioni lakini mapinduzi yalidumu Kwa miaka nane, vita sio sprinting ni marathon kijana

Hujui wayahudi wewe, go and study history au muulize Yesu Kristo.
 
Back
Top Bottom