Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitamboQuran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi
Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
Quran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi
Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
Duh!, hii akili ina kasoro mahali. Kwa kifupi huna faida hapa ulimwenguni, unamaliza oksijeni tu.Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.
Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================
The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.
"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.
"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
Donald Trump: Iranian hardliners who rejected nuclear deal are all dead | The Jerusalem Post
Trump further called on Iran to reach a deal, as "there is still time to make this slaughter and the next come to an end... Iran must make a deal, before there is nothing left."www.jpost.com
Kwa noni waungane kwa upuuzi kama wa dini moja, watu wanaungana kwa maslahi huo muungano wa dini ni wa wajinga tu na wakufikirika zaidiWaislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
Hovyo,wanaunganaje na ni juzi tu wametoka kuwekwa sawa na kubwa lao Trump,au Unadhani ile ziara ilikuwa ya kutengeneza filamu! Pole sanaWaislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
Sasa pole kwangu ya nini ? Acha uhadija kopa bwasheHovyo,wanaunganaje na ni juzi tu wametoka kuwekwa sawa na kubwa lao Trump,au Unadhani ile ziara ilikuwa ya kutengeneza filamu! Pole sana
SureKwa noni waungane kwa upuuzi kama wa dini moja, watu wanaungana kwa maslahi huo muungano wa dini ni wa wajinga tu na wakufikirika zaidi
Kinyonge sana😂😂Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
Halafu wakatawaliwa na Syria, Roma,uturuki na waarabuKabla muarabu hajaandika quran, Wayahudi walishinda vita dhidi ya miungu ya awali, muarabu kaja kuandika andika juzi na kusababisha mgombane na kila mtu duniani.
Weeh mgalatia hebu punguza porojo mbn vita ya ushoga inamshinda mpk baraza lake la mawaziri lina mashoga...?Usichokijua Israel walishinda vita vingi sana hata kabla ujio wa uislamu, mohamad na Allah, kuna miungu akina Baal wa Wafilisti alijaribu kuwafuta Wayahudi akashindwa, nyie mumebuniwa juzi miaka 500 baada ya Yesu kuondoka, unadhani mna nini jipya.
Hapo wamekutana ndugu yangu Mshia na mzayuni...Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo