mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 591
MK254...daily nakwambia ubongo wako kama wa nyumbu hujui chcht kuhusu mashariki ya kati zaidi ya kujua Yesu ni mungu aliyezaliwa na bikira mariam...na ndugu zake ni waisraeli basi...Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.
Iran wamejitutumua kutuma vi-drone vimechukuliwa vyote.
Israel imetuheshimisha, kila siku mnaambiwa siku mtaanza kujibiwa hayo maugaidi yenu mtakoma, hapo mumepigwa na kataifa kamoja tu, na huwa mumejiaminisha mtapigana na kila aisyeamini katika uzombi wenu.
=================
The hardliners in Iran who rejected the chance to reach a nuclear deal with the United States are "all dead now," US President Donald Trump wrote on Truth Social on Friday amid Israel's strikes on Iranian nuclear facilities.
"I gave Iran chance after chance to make a deal. I told them, in the strongest terms, to 'just do it,' but no matter how hard they tried, how close they got, they just could not get it done," the US president wrote.
"Certain Iranian hardliners spoke barely, but they did not know what was about to happen. They are all dead now, and it will only get worse," he warned.
Donald Trump: Iranian hardliners who rejected nuclear deal are all dead | The Jerusalem Post
Trump further called on Iran to reach a deal, as "there is still time to make this slaughter and the next come to an end... Iran must make a deal, before there is nothing left."www.jpost.com
muislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutengaQuran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi
Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
sasa kwanini muungane wote sababu ya kataifa kadogo sawa na wilaya skonge ina maana Israel ina nguvu sana mpaka muungane waislamu woteWaislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
US ina nguvu karibu kuliko mataifa yote duniani , hao wazayudi wao ni ushoga tu hakuna kitusasa kwanini muungane wote sababu ya kataifa kadogo sawa na wilaya skonge ina maana Israel ina nguvu sana mpaka muungane waislamu wote
Vita mnaweza nyie? Hii vita inaezagongwa miaka zaidi ya 10 na mabomu yataundwa tuumuislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutenga
Angalia Hamas anavyokiwashamuislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutenga
Ndio kinyonge! Nakumbusha TU vita huishindi Kwa siku Moja na kelele za mtandaoni hao Hamas miezi 20 sasas Bado wapo hivyo hao mazayuni ni suala LA muda. Hakuna vita isokua na lossKinyonge sana😂😂
Sasa hapo muarabu nani weeh bwege?muislamu hata asiposarenda anaendelea kudundwa TU mpaka achakae mwisho muislamu hulia wanawake na watoto wanauawa mara njaa ndugu zetu waarabu wametutenga
Hili ni show la kibabe wallah! Shikamoo Myahudi. 😛
MK254...daily nakwambia ubongo wako kama wa nyumbu hujui chcht kuhusu mashariki ya kati zaidi ya kujua Yesu ni mungu aliyezaliwa na bikira mariam...na ndugu zake ni waisraeli basi...
Ila hujui political and religious wala itikadi za watu wa mashariki ya kati..na nina kwmbia hakuna bomu la muajemi litakalo vuka kwnd Israel...zaidi muirani atabaki kujitapa tuu
Kwa nini hatofanikiwa wala hujui zaidi ulichokalia hapo Yesu ni muisrael...weeh mgalatia hakuna kizazi cha mitume karne hii wala nasaba wao si wanavifaa vya kisayansi na taifa teule basi wapine DNA watafute kizazi cha Yakobo na Yesu kama kweli wao wateule
Mkuu, Mrema (RIP) aliwahi kusema ukiunganisha ugonjwa na ugonjwa mwingine unapata kifo. Bora tu waendelee kutengana hivyo hivyo!Waislam nao ni wanafki tu , dunia nzima wangeungana na wakawa kitu kimoja Israel ingesha sahaulika kitambo
KweliMkuu, Mrema (RIP) aliwahi kusema ukiunganisha ugonjwa na ugonjwa mwingine unapata kifo. Bora tu waendelee kutengana hivyo hivyo!
Surrender or no surrender,Nuclear msahau, mengine au sijui uislam wa kweli mtamalizana wenyeweQuran ilishatuonya hivyo vita haitakwisha ni ya vizazi kwasababu muislam wa kweli hasarendi
Quran 2:120 hawatakubali mayahud na manasara mpaka musarande Kwao.......
Wapi alipisema uislam adui yake mkubwa myahudi hivi wewe unajielewa kweli na unachoandika unakisoma eti mimi ninachojua kipo kwny vitabu vya kihistoria ipi hiyo?Mimi nachokijua kipo kwenye vitabu vya historia, kabla mtume wenu hajaja na kuandika andika kitabu chake kuhusu allah wake, alikuta dini za watu, alikua Myahudi ameshinda vita vingi dhidi ya miungu ya awali, sasa huyo muarabu wenu kaja na sounds za chuki dhidi ya Wayahudi, amesababisha kutwa mnapigwa pigwa hovyo tu maana kila mkianzisha huwa mnaishia kujambishwa.
Surrender or no surrender,Nuclear msahau, mengine au sijui uislam wa kweli mtamalizana wenyewe
Leo ninafursha Kila atakayenisogelea namwaga bia yaaa Israel wamenokosha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤝🤝🙏🙏🙏👏👏👏👏👏👏Napata raha hadi naumwa, Trump alionya Iran kwamba watapigwa wakashupaza shingo, makamanda waliokua na misimamo mikali leo wamewahishwa kwa mabikira, Israel imesema bado haijakamilisha mapigo na hakuna kenge wa kuizuia, itapiga mpaka ifikie malengo yake, anga ya Iran peupe hamna ulinzi wowote licha ya madude ya Urusi kuwekezwa pale, ndege zinajipigia na kurudi nyumbani.