msimamia kucha
JF-Expert Member
- Dec 1, 2013
- 776
- 656
Hapo Middle East Israel anaweza pigana na nchi hata Tano kwa wakati mmoja.Kila Jambo linafaida yake ndio maana waislam husema Alhamdulillah. Hatimae Gaza wanapata muda japo wa kujipanga
***************************************
IDF: The army withdraws forces from Gaza to deploy them on other fronts.
Fuatilia shambulio la leo ujue nchi ngapi zimejipanga kulifanikishaHapo Middle East Israel anaweza pigana na nchi hata Tano kwa wakati mmoja.
Vinu vyote myahudi kavigeuza mchanga, sasa mnatafuta ugomvi na Azerbaijan na Turkey πππ, ule wimbo wenu wa death to Israel nashauri muuache sasaWewe Kama nani kumsahaulisha nuclear muajemi?
βοΈ | The launches are not coming directly from Israel they are originating across the bordering countries. And these countries have allowed it to happen. We must focus on the involvement of Azerbaijan, Turkey, and Central Asian states in facilitating or enabling these attacks.
πΉ@enemywatch
Kupigwa kwa Iran, vikundi vyote wakiwemo na Hamas watapoteaAngalia Hamas anavyokiwasha
Sibadili nilichokiandika...Israel mbabe wa hapo Middle East.Fuatilia shambulio la leo ujue nchi ngapi zimejipanga kulifanikisha
Mwana mapinduzi yule hana shida sadam aliua washia mamilioni lakini mapinduzi yalidumu Kwa miaka nane, vita sio sprinting ni marathon kijanaAyatollaah hofu kuu imemjaa tumbo limejaa gesi na linanguruma kama kala mayai + maharage mabichi + karanga mbichi
Hamas ile ardhi amuachie nani?Kupigwa kwa Iran, vikundi vyote wakiwemo na Hamas watapotea
Kasha kata ticket hapo middle east hapatatuliaVinu vyote myahudi kavigeuza mchanga, sasa mnatafuta ugomvi na Azerbaijan na Turkey πππ, ule wimbo wenu wa death to Israel nashauri muuache sasa
Mwana mapinduzi yule hana shida sadam aliua washia mamilioni lakini mapinduzi yalidumu Kwa miaka nane, vita sio sprinting ni marathon kijana