The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,942
- 20,077
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.
Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.
Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India, nilipata shida sijawahi kuona.
View: https://x.com/Bushra1Shaikh/status/1890387643365544434?s=19
Sijaongelea English ya Nigeria ambayo sijui hata hua wanaongea nini.