Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

Trump ashindwa kuelewa kingereza cha India, ahitaji mtafsiri

Kwa AFRIKA KENYA,ZAMBIA NA SOUTH AFRIKA NA MALAWI WANAKIINGEREZA KIZURI SANA.TANZANIA TUNAKIINGEREZA KIBOVU TU
Kenya wana kingereza kibovu sana.. mimi kwangu waganda wana kingereza kizuri sana.
 
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.

Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.

Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India, nilipata shida sijawahi kuona.

View: https://x.com/Bushra1Shaikh/status/1890387643365544434?s=19

Sijaongelea English ya Nigeria ambayo sijui hata hua wanaongea nini.

Afrika mangaribi wote hovyo! India any thing wao wanasema anytin!
 
Nigerian: I beg ooo; Abeg o, wahala be, oyoo.
Kuna chatroom moja hivi wakianza kugombana siambulii kitu
One thing I like about them brothers ni hawana aibu kwenye pesa na kutafuta yaani,hata kama ni dili la unga wanasali kwanza,hata kwenye kutapeli wanasali mungu na yesu anawapata dili.Utasikia only God ohhhhho oga.
 
Nilifikiri ni mimi tu napata shida kuwaelewa wahindi na kingereza chao lakini kumbe sio mimi tu.

Kwenye mkutano wa Rais Trump na Waziri mkuu wa India, Trump amelazimika kutumia wakalimani kutafsiri kingereza cha Inda ili aweze kuelewa.

Kuna wakati niliwahi kufanya kazi na wahindi kutoka India, nilipata shida sijawahi kuona.

View: https://x.com/Bushra1Shaikh/status/1890387643365544434?s=19

Sijaongelea English ya Nigeria ambayo sijui hata hua wanaongea nini.

Na je hii yetu ya Bongo don't follow follow me without because, you can't me am another.

Nyau de adriz
 
Huyo Trump IQ yake ndogo tu, Ni mengi huwa haelewi na hata akielewa huwa anajibu ambacho hajaulizwa wahindi wanaongea Faster na some mispronunciations za hapa na pale; issue ni ukikutana na mtu wa Scotland ndio balaa
 
Back
Top Bottom